@wepesitv: Huyo anayesema anakupenda, kama hakupi kitu, basi sikiliza hapa inakuhusu. “Hakuna upendo bila utoaji, Dada kama upo na Mchumba na hajawahi kutoa chochote huyo ni Mtekaji, kimbia!!!, upendo una nguvu kiasi kwamba hukosi chakutoa” Mwl. Onesmo
jaman wakak mmeona ee😁 msiseme mimi ndio nimesema ni mwalimu jmn🤭🙌
2026-06-04 05:34:57
4
user79027311248460 :
mwalimu unatufundisha ukweli mungu akulindele
2026-05-09 15:39:07
4
faith peter :
Amina baba ubarikiwee🙏🏽
2026-06-11 18:06:04
1
Slyvia Amos :
Ameniiiiiiii
2026-05-14 18:03:46
1
user1234577 :
😁😁😁ni kweli Baba
2026-07-31 08:24:16
0
Rose Kessy :
Amina
2026-06-16 19:15:25
0
Irene Mollel :
Ameni.....Kweli Moyo wa Utoaji hausubiri kushawishiwa au kufundishwa na Mwalim la asha Utoaji umo ndani ya Moyo unaopenda kutoa Ameni Baba Akubariki kwa kutukumbusha wajibu wa Upendo wa kweli nimepata kitu kingine zaidi Ameni.
2026-06-28 12:08:06
0
Nevia lekiguranye :
💯Amina kubwaaa
2026-08-02 10:39:39
0
Tunda Emanuel :
Imeisha hiyo
2026-07-20 15:12:53
0
MRS♥️me💖 :
AMEEEN🙏🙏
2026-06-20 09:22:52
0
Tee Mchele Store :
Ila mwalimu 😁😁😁😁
2026-05-07 06:45:50
0
Mr's daddy :
ameeen
2026-08-01 07:25:02
0
999 :
mimi nampemda mke wangu ndo maana nkatoa watoto wangu awesome mama yao
2026-07-17 10:21:56
0
careen :
amen🙏😂
2026-06-19 07:44:02
0
user79027311248460 :
kweli mwalimu
2026-05-09 15:38:22
1
Esther mungur :
kwel
2026-06-01 09:42:44
0
Me♥️☺️ :
Kbsa
2026-06-04 04:43:56
0
Me♥️☺️ :
Hiiii
2026-06-04 04:44:21
0
neylove :
jamani nyie ni seme to ukweli AM TRUE LOVE for this man mungu akuweke miaka mingi mwalim
2026-08-02 17:30:26
0
Maasai Qween👸 💝💝 :
amen 😁😁
2026-06-04 18:39:21
0
LOVE CLOSET 🎀 :
Amen
2026-06-14 15:55:47
0
Emmy Lema :
kweli mwl
2026-05-07 17:29:55
0
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm
homepage.