@dalali.chanika: Nyumba inauzwa chanika mtaa wa zingiziwa bei milioni 22 mteja pg sm 0672747232 vyumba vitatu sebule jiko chumba kimoja master bedroom pamoja na pablic toileti kalibu sana mteja wangu#tiktoktanznia🇹🇿 #fpy #tranding #pyfffffffffffffffffffffffffffffffff
DALALI HAMISI CHANIKA
Region: TZ
Wednesday 06 May 2026 16:15:26 GMT
Music
Download
Comments
Hamida Outfit👕👚 :
nzuri mashaallah nini kimemkuta mjengaji daah 😭au ndio ile jenga usikae
2026-05-10 18:44:52
8
Eddy🇹🇿🇩🇪 :
Bdo ipo hii mkuu
2026-05-07 14:49:05
2
anna Emmanuel :
mim nataka kiwanja
2026-05-22 10:38:34
1
Mohamed Chofley :
ipo kweli nahitaji nyumba nipo moaning Nakuja
2026-05-06 18:17:17
1
chibabawenu11 :
chanika gani?
2026-05-06 17:42:12
1
Somoe Amani :
Shamba zingiziwa
2026-05-06 18:35:02
0
user1278481375032 :
nina 20 yaweza
2026-05-07 12:23:41
0
muna12349 :
Ina umbali gani kutoka barabarani
2026-05-08 09:45:36
0
huba khamis :
nataka
2026-05-18 16:44:04
1
mamu 93228969 :
bado ipo
2026-05-11 15:06:07
0
Charles casmir :
shida sio nyumba kiwanja chake kina ukubwa gani na kuna eneo limesalia au nyumba msingi upo kwenye bikoni
2026-05-09 09:45:05
4
BAHAYAN 🌹 TEXTILE :
sqm MITA Ngapi 🤔
2026-05-09 23:11:20
0
jamillah kheir :
parking kipengele
2026-05-08 08:25:48
0
Kassimu Ramadhani :
maji
2026-05-06 18:51:50
1
🐺 𝑹𝟑𝒂𝒍_.𝒅𝒙𝒓𝒌 :
Allah nijalie mja wako
2026-05-06 18:33:21
0
Sophy's :
JENGA UZA IYOOOO KWENDRAAAAA
2026-05-16 19:39:02
1
Nasra :
kwel bei rahc waliojenga ndo wanaelewa hii
2026-05-16 08:18:32
1
emmanuel funuki seneda :
nondo mm 8 plasta ndoo 50 kwa mfuko bati mwaka mmoja inapauka
2026-06-08 15:05:13
1
it's me swtycamy 🎀 :
sorry bado ipo
2026-06-01 12:46:09
0
Fannyboy26 :
hio nyumba bado ipo
2026-06-04 17:34:28
0
Travis_21 :
Nina 20
2026-10-12 20:29:45
0
Ukhuty Ruqaiyyah :
kwan tabora hakuna huduma hii
2026-08-03 15:43:16
0
nitahfrancie :
vifaaa wanapewa bule na eneo bule au ni nyumba ya books?
2026-08-02 13:10:53
0
CHOMMIE 🐐 :
Aupo online we jamaa
2026-07-29 15:06:00
0
Grace Moyo :
mbona hakuna paking
2026-05-06 20:20:24
0
To see more videos from user @dalali.chanika, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.