tupe andiko linalosema mm yesu ni mungu usitupigie kelele apo na komwe lako ilo
2026-05-27 10:04:28
7
Abdul-rahman :
yohanna 17:3 Yesu amesema mungu mmoja tu na wa ukweli naye ni baba na yeye ametwa na mungu
2026-05-19 02:18:48
9
user4113328584962 :
YESU SIO MUNGU SOMA VIZURI KITABU MZEE.
2026-05-31 16:26:44
5
Harry Mbale :
Amen Yesu utusaidie tupate kuamka usingizin
2026-05-07 04:58:30
5
Imani Saidi :
Mungu hajawahi kuishi na watu duniani na Wala Hana kivuli Cha kugeuka geuka mara Leo mtu kesho mungu
2026-06-03 18:02:23
2
Rashm :
KWAIYO MUNGU ANA MUNGU WAKE ??
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
2026-06-10 13:34:50
1
Sammy The Apostle :
Hii hekima niya juu Sana, Mtu Haujielewi Haezikuwa mafundisho kama haya.
2026-05-31 05:12:20
4
Veronica Pius538🇹🇿 :
wooow wamasai wanasikiliza INJILI kwa YESU raha sana.🥰🙏
2026-06-09 12:02:05
1
hussein :
vip Adam nae ni mungu mana Hana baba Wala mama je yeye ninan Kama kwamfano huo
2026-06-03 09:25:13
0
Moh'd Hassan :
yesu sio mungu
2026-05-25 16:49:45
2
bwefum :
ni neno la mwenyezimungu.unajichanganya
2026-06-10 16:50:17
0
Eddy :
aminaaaaaaaa
2026-05-19 01:31:02
2
abdallah ayubu :
ww ndo ujasoma
2026-05-30 20:35:32
1
Safari :
Amen amen amen
2026-05-07 07:24:40
3
dominickmungala61 :
Amina
2026-05-07 08:58:55
2
Jesus Christ is God :
emen
2026-05-30 19:16:29
0
Yvette bijoux :
una ni bariki sana baba
2026-05-30 04:31:41
1
Ansiberitus Venanti :
amen
2026-05-11 10:44:31
1
Blessed talent De prince :
asante baba
2026-05-09 00:50:21
2
GIBSON ULIMWENGU :
Amina baba
2026-05-09 13:33:26
1
user7467179269016 :
Amen mchungaji safi sana
2026-05-10 15:26:33
2
Terrence 💥💥💥 :
exactly 💯 amefananua vizuri 🙏🙏🙏
2026-05-09 15:43:38
2
chengula m :
amin baba
2026-05-07 06:43:15
3
Alphonce K buyu :
aamen
2026-05-07 20:52:32
1
HOPE MALEGA :
Amena mchungaji
2026-05-11 20:40:24
1
To see more videos from user @harry.mbale7, please go to the Tikwm
homepage.