#PixelCommunity #AndroidBasics #TechHumor #TanzaniaTech#francetronix - @255francetonix"/> #PixelCommunity #AndroidBasics #TechHumor #TanzaniaTech#francetronix - @255francetonix - Tikwm"/> #PixelCommunity #AndroidBasics #TechHumor #TanzaniaTech#francetronix - @255francetonix"/>

@255francetonix: Hizi ni baadhi ya sifa zao kama kuna iliosahaulika ongeza kwenye comments 1."MABALOZI WA CAMERA" (The Camera Evangelists) Hawa watu hawawezi kupigwa picha na simu nyingine yoyote wakakubali. Hata kama iPhone imetoa picha kali, atasema: "Ngoja nishoot na Pixel yangu, uone HDR ya ukweli." Kwao, kila kitu ni 'Magic Eraser'--wanafuta watu kwenye picha zao kama wanafuta madeni B 2. "WATAALAMU WA WEATHER" Mtumiaji wa Pixel ndio mtu pekee anayejua hali ya hewa saa 24. Atakwambia "Kaka, usitoke, kuna manyunyu yanakuja baada ya dakika 14." Wanajisikia kama wanafanva kazi Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kisa tu simu inawapa alerts kila saa.# e 3. "WAPINZANI WA IPHONE" (The 'Pure Android' Soldiers) Hawa ndio walinzi wa amani wa Android. Ukisifia iPhone, watakuletea mada ya 'Stock Android' na jinsi simu yao haina 'bloatware'. Wanajiona wana akili nyingi kuliko kila mtu kisa tu wana 'Call Screen' na 'Live Translate'. 4. "PRESHA YA BATTERY' Licha ya sifa zote, mtumiaji wa Pixel akiona battery imefika 15%, anaanza kutafuta chaja kama anatafuta hewa ya Oxygen@₹9. Lakini bado atasema: "Hii simu inajifunza (Adaptive Battery), baada ya wiki mbili itakaa muda mrefu." (Tunajua ni uongo, lakini tunawaacha). 5. "WAPENDA UPDATES" Hawa watu huwa hawalali usiku wa kwanza wa mwezi. Wanasubiri 'Security Patch' au 'Feature Drop'. Wakipata update ya MB 50 tu, wanajisikia kama wamenunua simu mpya kabisa! Tag rafiki yako mmoja anayetumia Google Pixel na utuambie, ni kweli wana dharau kidogo upande wa camera au ni sisi tu tunaowaonea wivu? > #PixelCommunity #AndroidBasics #TechHumor #TanzaniaTech#francetronix

FRANCETRONIX
FRANCETRONIX
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 07 May 2026 09:31:15 GMT
162
10
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @255francetonix, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About