Sio kuingia na kutoka tuu uku maisha ni expensive kwa kila kitu😩🥹
2026-05-09 11:04:43
93
CJ little brother 👊🏼 :
wa gezaulole tujuane🥰😁
2026-05-09 10:29:47
64
lushybaby :
familia y darajani nunge like hap
2026-05-10 13:39:28
38
fun kiddo :
wanangu wa tuamoyo mlike apa npate friends
2026-05-11 08:22:51
22
☠️MH🌼R🍁 :
nakubal kak
kigambon family
2026-05-08 07:33:37
56
ZOMBE :
sio lazima kupita dalajani
2026-06-14 13:17:36
5
. :
I tell people kigamboni is a GEM…….Nasihami kigamboni 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-09 13:05:36
7
user1172562900024 :
Family y Sido likes hapa 😊😊
2026-05-24 12:44:51
9
Mrs hero :
Sioshda zetu matajir tunajulikana tu 🫰
2026-06-14 17:18:37
4
zombi :
wale wa soweto
2026-06-15 11:39:18
2
mary gasper :
kabisa huku wote tunajiweza
2026-06-15 18:44:25
1
hafidh :
Kuna siku nikajichanganya sfr yng ulikua naenda tazara badala ya kupita chini nikapita juu inanipeleka kurasini nikasema ngoja nitafute U turn nimeenda Hadi darajani naambiwa nilipe kuingia na kutoka dah