@mkumba99: ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐ร๐ ๐๐๐๐๐. Dunia imeona bao bora zaidi mwaka huu ni kutoka kwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Utamu wa bao hili zaidi ni kumfunga mtani na kuchangia mtu kuliwa kichwa. Jambo la kufanya kwa Mwanasimba ni kuweka post hii kwenye IG Story na kutag akaunti ya @fifa ujumbe uwafikie mapemaaaaa!!! #NguvuMoja