@firekingkituno:

FIRE KING VYBES
FIRE KING VYBES
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 07 May 2026 18:40:41 GMT
1360878
82288
1617
1599

Music

Download

Comments

luhya.bea58
Achieng'🥰 :
Alafu ifike jioni unasema umechoka na job
2026-05-08 10:13:40
638
rahma06893
Rahma :
Hadi raha anafanya kazi yake kwa furaha kabisa🥰🥰
2026-05-10 07:44:36
381
remygal02
Remy💕 :
bila shakaa hii ilikuwa siku ya mshahara
2026-05-09 10:50:12
189
mamyfahim123
mwechengo 🥰🥰 :
mungu abarik kaz ya mikono yako
2026-05-09 11:53:53
222
fridak650
💕mamy🥰🔥 :
20/20
2026-05-08 18:38:16
6
john_jackob78
[email protected] :
pale unapofanya kazi unayoipenda toka moyoni
2026-05-11 13:47:41
54
jumayassin367
Juma Yassin :
napitaje sasa kaka bila like
2026-05-08 19:56:34
6
fettykarim342
Fetty Karim :
hongela kijana nimependa unajipambani uku ukiw nafulaha
2026-05-09 12:03:27
29
sniper.macky
sniper macky from bk tz :
raha sana mtu kupenda kaz yake, kwa heshima sanaaaaa🙏🙏🙏
2026-05-08 20:20:16
49
josephine1089
Love💗🌹💕 :
kazi yako ikawe na kibari mbele ya mwenyezi Mungu🥰🙏
2026-05-09 16:16:17
40
ndewa30
Ndewa :
naanzaje kukunyima like
2026-05-09 11:29:45
9
user916107078249
Sophia Akida :
M/mungu abariki kazi ya mikono yako lkn chunga saana uzazi uwo broo
2026-05-09 21:08:36
16
mokayasalome38gmai
SALOME COSSY💞💕🌹 :
Alafu usiku ulale fofo ukisema umechoka kumbe ulikua unasumbua tu kiuno😂😂😂😂🥰😁
2026-05-14 11:35:37
11
user3285107491134
dorry Gerald :
naona Raha kuona mtu anafurahii jaman 🥰🥰
2026-05-09 13:47:04
7
harith_975
HARITH_06 :
Kumbe Tik tok tuna ugeni na Hamsemi
2026-05-11 13:32:03
8
user2777480887162
Innocent Peless :
hiyo ndio maana halisi ya kuipenda kazi yoko kutoka moyoni
2026-05-13 20:00:16
5
kayamba.seth1
kayamba seth :
kama unaipenda kaz yako gonga like no stress 👍👍👍👍
2026-05-09 22:07:09
7
jant.de
jant.de :
mungu barik Kaz za waume zetu
2026-05-09 17:27:51
6
kalos.juliusi
Komba Jr :
Kazi na music babu
2026-05-09 12:01:00
17
user3953271267493
zuhura🤎🤎🥀 :
sawa ila jioni maesabu
2026-05-09 09:06:36
7
user25507684799296
AFRICAN GIANT BOY🌍 :
do things for love💯💯
2026-05-09 15:24:12
5
user10033225513403
Gerald jerry :
penda unachokifanya na chenyewe kitakupenda
2026-05-13 17:37:04
5
liikauta6
lii 🦋🦋 :
Nimeipenda hyo kaz na dawa😍
2026-05-09 10:58:53
6
jp.7859
jpr.7 :
hahaha 😂😂 nimependa San mkuu unanipend San kazi Yako Yan unaifurahiy San Mungu akubaliki 💯💯
2026-05-09 10:25:59
16
msabinho11
melick msabinho :
nikikunyima like nitakua mchoyo
2026-05-09 14:03:46
5
To see more videos from user @firekingkituno, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About