@kashelejainsighttz: 🚨 PID INAHARIBU UZAZI KIMYA KIMYA! 😳 Unapata: ⚠️ Maumivu ya tumbo la chini ⚠️ Uchafu wenye harufu mbaya ⚠️ Maumivu wakati wa tendo ⚠️ Hedhi kuvurugika Usiseme “itaisha yenyewe”… 🚫 PID inaweza kusababisha: ❌ Kufunga mirija ❌ Ugumba ❌ Mimba kutunga nje ya kizazi Tibu mapema, linda uzazi wako 💯🔥 #PID #AfyaYaUzazi #TibaLishe #Fertility #Wanawake