kwa mfano 6+6+6=18
18/9=2
je hapa inatumika 2? maana hamna iliyobaki
2026-05-15 18:27:16
2
H2 mbili :
1.7777777 tunafanyaje?
2026-05-16 21:34:26
0
QUEENB :
1.77777777 ujasama
2026-05-20 19:19:32
1
user3418051521916 :
jumamosi saa ngapi
2026-06-10 11:51:47
1
chris breezy :
2.22222 hiiii inamnish jumanne malu
2026-05-08 06:03:12
2
kipombogo :
asante sana kaka
2026-05-24 12:21:28
1
dimosso :
Kama haibaki je
2026-06-02 14:38:17
1
alfaalfa :
sharif teacher hiii tunaomba uifanye kwa kuandikaa kabisa nduguu. zoezi ni jepesi ila halijaeleweka kaka. tafadhari tunaomba uelekeze tena kwakuandika. shukran kwa elimu ndugu.