@festokise: Nimekaaa zangu Saloon nje sina hili wala lile Mara Paaap naona gari imepaki kuangalia namuona ALIKIBA Kapita kunisalimia Nimejiskia Furaha sana Leo❤️
wow nimefurahia sana.... huyu siyo kakaetu tena a nachukua nafasi ya kuitwa BABA sshv
2026-05-23 22:23:01
10
Chris Fil :
kamera chafu uozo
2026-06-17 20:41:32
3
neyranny_ :
C.E.O 👑
2026-05-08 16:44:39
5
Stanley Evarist 😎 :
Mimi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi na sijui kitu wowote.
2026-06-07 16:15:34
2
twinx_02 :
mtu safi san
2026-05-07 23:35:16
4
lista Jackson :
Dua mwanetu 🤝
2026-06-10 20:07:15
2
Aisha Hasani :
na mi natamani nimuone japo mala moja 2
2026-06-17 20:43:10
2
U60 Rockboy Tz :
Yuko fear Sana mfalme
2026-05-09 18:10:25
3
Esther jolie :
🥰🥰🥰
2026-05-14 10:29:03
4
rukia :
🥰🥰
2026-05-08 12:09:37
4
Beka Flavour :
🔥🔥🙌🙌
2026-05-09 13:50:17
3
Beccah :
🥰🥰🥰
2026-05-09 18:21:41
3
pozzo king 🤴🤴👑👑 :
😅😅😅
2026-06-26 20:16:41
0
To see more videos from user @festokise, please go to the Tikwm
homepage.