Ni mwaka wa nne sasa namlilia dada yangu niliona siwezi kuishi bila yy tulikua kama mapacha lakini nime muambia mungu sitoria tena kwa sababu yake Nime muachia mungu najua yy ndo Anajua kitu sahii kwangu🙏🙏
2026-05-08 21:01:53
3
mosesi :
amina sana kwaneno hilii ubarikiwe san
2026-05-09 12:33:15
1
Esilida :
Amina Amina Asante kwa kunitia moyo Maan ni neema yake Mungu tu Maan 😭😭😭💕
2026-05-18 08:51:35
0
miss angel :
Kuna kipindi niliwahi kupitia wakati mgumu Kuna mda niliishi kwa kulia nilishinda hat bila kuongeaa na mtu moyo wangu ulihsi maumivu ambayo ni magumu kusahaulika ila namshukuru mungu nimesimam Tena hakika mungu yupo sku zote na waje wake
2026-05-22 19:48:14
0
mommy jj :
amina sana yani maneno ya kama umeniona mimi asante
2026-05-16 12:28:45
0
Trust in god :
asante sana kwa neno mungu akubariki amina
2026-05-11 21:04:04
0
Miss irene cute🥰 :
asante mungu kwa yoteee🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-13 16:50:34
0
user4273653951815 :
Daaaaaah 😭😭😭 mungu akubariki sana ulie chukua muda wako kuandika maneno ya faraja namna hii na mm yamenitia moyo sana maana nipo kwenye wimbi ambalo sjui hata nianzie wapi niishie wapi ila ikiwa Bado napumua namwamini mungu ipo sku atafanya njia nitavuka na itakua historia
2026-05-22 10:53:40
0
simon musau :
asande kwa ngutuo.nesha mameno masuli ya mungu endelea ivyo ivyo.🙏🙏🙏
2026-05-09 18:44:03
0
Edinah Kemunto :
Amina
2026-05-09 14:41:53
1
Florence flavian :
niliumizwa moyo na baba ya watoi wangu sanaa but nashukuru mola kwa kuniyepushia hayo yote
2026-05-11 09:49:57
0
irrine chimera :
Amen 🙏 🙏
2026-05-08 09:47:29
1
Jema John :
Ameen
2026-05-11 03:52:38
1
Mackrina 🥰 :
Amen 🙏
2026-05-08 19:17:03
1
@EKIABABA KWAMBOSH@ :
Amen 🙏🙏
2026-05-08 12:36:13
1
musili :
amina🙏🙏🙏
2026-05-08 13:05:02
1
musili :
amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-08 13:04:35
1
linder msoka :
Ameen
2026-05-09 10:39:57
1
Athumani musa :
Amina
2026-05-08 17:37:54
1
johha :
Amen
2026-05-08 13:11:25
1
maggie kiguna :
ameeenii
2026-05-09 18:14:12
1
rey j :
amen
2026-05-08 15:13:35
1
Gustaph Jr :
ameen
2026-05-08 13:29:32
1
Magdalena khumay mlolo :
amen
2026-05-08 08:43:18
1
Queen :
amen
2026-05-08 07:47:03
1
To see more videos from user @tumwendee_yesu, please go to the Tikwm
homepage.