mimi ni 2022 na bado niko class ya 2026 si bora nimalize ama😂😂
2026-06-04 12:14:49
16
ombachi :
not to offend you but can l laugh ?😂
2026-06-05 11:10:30
0
Nabii :
na mimi hapa nasonga na cohort 2023 na nafaa kuwa 2022🥺🥺
2026-05-13 09:23:20
162
💎L Lee™️ :
mamangu amesema mlisoma na yeye class 3🥱🥺
2026-05-13 11:29:47
74
Qalbi 🖤 :
niliona wa 2015 na mi ni 2023😂
2026-06-05 10:20:39
4
Betty💃 :
I must follow you😂😂😂😂 hiii nimecheka kwa staffroom sanaaa
2026-05-12 08:36:21
37
Thia Wang 🇰🇪🇺🇸 :
last year Mimi wa 2015 walinishangaa wa 2026😂😂
2026-05-14 09:33:38
26
Joshua Gatuzo :
Resit kama dawa😅😅
2026-05-11 19:50:37
51
moh :
2012 nayo apana hadi mimi niko third year but ningefaint😂😂😂😂
2026-05-14 19:09:41
5
Ali Taylor :
😂😂😂planning to go back mind you Mimi ni wa 2012
2026-05-11 08:34:37
10
vdlamir asksionov :
sielewi nini
2026-05-10 16:44:51
11
R K Decors. :
😹😹😹 sooo meeee, wa 2018 mko wapi?
2026-05-12 19:18:07
6
Ian Bidii :
nakumbuka nikiwa MKU thika 2024 kulikua na wa 2019 kwa class 😂
2026-05-13 15:53:55
6
Sailor ⚓ :
2016... nmegraduate 2025😏😏
2026-05-15 03:33:35
6
Mr.Kiprotich :
you're reminding me when i was resiting for my CPA exmas my reg no were 192 na saa hiyo currently 412
2026-05-12 06:30:45
7
I am Nicholas :
once I met /2011 na ilikuwa 2025 😂😂..ni mbayaaaa
2026-05-09 15:56:36
10
@Koichan😎 :
Wengine wako year 9 we ndo umeingia fresha😂
2026-05-11 19:53:08
8
Musa Keynote :
mimi walikuwa wanashangaa mbona ID yangu inaanza na 22 nazao ni 40 something 🤔 😕😅
2026-05-13 16:20:05
5
SiTumA💖💖 🇰🇪 :
guys mi ni wa 2026 may😳
2026-05-28 18:41:34
4
roseochy3 :
heri hyo Masters degree in public university cab humble you ..I joined it 2022 graduated in 2025...hapo nilikua class na watu wa reg 2015 na bado wengi niliwacha huko
2026-06-02 13:06:14
1
Tajiri mdogo :
form four leavers tumeuma nje ata hatuelewi nini inaendelea🥺
2026-06-04 11:51:27
1
AZ :
unaweza dhani NI filter
2026-05-15 12:09:54
1
Ajakaa Ekisa😚 :
😂😂yangu n 2018
2026-05-14 15:03:18
3
To see more videos from user @adalas000, please go to the Tikwm
homepage.