@imtauminkhlf: nakupenda sanaa dada

Humayra
Humayra
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 08 May 2026 09:07:34 GMT
69408
2500
296
818

Music

Download

Comments

manirakiza.august5
mom Shammah Bby ♥️👌 :
Mimi huyo Allah bless me❤️👌
2026-07-23 07:41:29
0
user61517416619253
user61517416619253 :
asante
2026-07-23 13:21:58
0
amina.kilongozi3
Amina Kilongozi :
Yarabi wangu ameenda😭😭😭 Allh ampe kaul thabit dada yangu ajali ajali ajali nimeitaja mara tatu mana sitaisahau imefanya nijue mana halis ya ajali za barabarani pumzika dada angu pumzika mama angu pumzika kipnzi changu🙏🙏🙏🙏
2026-07-14 10:39:51
2
zuwena1914
Zuwena$ :
Ila hatuna bahati 😭😭😭😭🙏
2026-06-05 13:38:52
5
makameally
makameally :
huyo ni dada mama wallahi Allah mlipe kheri dada yangu kipenzi na muondoleee dhiki za maisha
2026-05-11 17:42:41
13
kersozdorter0
🥰My heart 🫂❤️ :
Aaamiiin🥰🥺It’s me 🥰Allah npe subra 🥰
2026-05-24 16:46:17
1
swalhasalim8
suhaila🥰🥰♥️ :
amiin thuma amiin 🤲🤲 najihis kulia kwa nnayo pitia🥺
2026-06-23 09:18:07
0
ukumbushomzuri2
ukumbusho 2 :
Ni kweli... machozi yananitoka.. Ni dada ambaye nataka niwapiganie ndugu zangu Kwa hali na mali lakini Uwezo wangu hauruhusu😢😢😢 Namuomba Allah aniwezeshe... Nawapenda sana ndugu zangu🥰
2026-05-28 10:35:55
4
mamake_mursaina
MAMAKE MURSAINA :
Amiin yarabby Amiin. Na wazazi wetu waliotangulia Awajaalie jannatul firdaus na walio hai awalipe kheri duniani na kesho akhera. Amiin 🤲 ❤️♥️❤️
2026-06-01 16:35:42
3
hawaa38306
hawaa :
amiin amiin yarab🤲 huwa naumia sana kuona ndugu zangu wanateseka na mimi hali yangu hairuhusu basi huwa natumia mda mwingi kuwapambania ....walahh kuna mda najisikia hata kulia ila neno langu kubwa ni kusema inshaalah🤲🤲🤲
2026-07-12 10:59:34
0
queen.sk6
Queen SK :
Ameen Allah atu epushie balaa
2026-05-19 12:39:20
0
fatumachahe
Fatuma Chahe :
Aamin mjalie anifa
2026-05-25 12:40:29
0
sharfmam
sharfmamy :
duh 😭😭😭 mungu nakuomba nifungulie rizik yangu bado safari ni ndefu
2026-06-04 06:35:09
0
rachel86319
Rachel :
eee mungu tujarie ridhiki na afya njema tuendelee kuwatunza wadogo zetu, 🥰
2026-05-19 10:05:38
1
aishahassanor1
aishahassanor1 :
Amin 🤲🏻 Amin 🤲🏻 Amin 🤲🏻
2026-05-12 11:32:24
0
samiraabu5
samira collection👕👖👗👔👙👡 :
AMIIN🥰 adi nimeiandika kwa herufi kubwa ndo Mungu anione
2026-05-23 18:56:14
1
minnah0228
Minnah :
dada ang kipenz tulia juma mungu akupe nguvu ya kutupambania my sweet sister tunajivunia ww my blood 🥰🥰🥰
2026-06-14 16:41:45
1
mwanaidikizeve815
Da mwana :
ni kwelii kabisaaaa nakupenda dada yangu rehema kizeve mungu akupe uhai mrefu utuongoze.wadogo wakoo
2026-06-23 07:46:42
0
user4931731578754
beautiful s :
ALLAHUMMA AMIINA! NI MIMI HUYI YAH RABBI TUZIDISHE AFYA NJEMA KILA IITWAYO LEO MAANA UZIMA WETU NDO FURAHA KWAO WADOGO ZETU
2026-05-27 11:42:04
3
hilda.amana
Hilda Amana :
Ninajiona ni mimi allahumma amiin 🙏🙏🙏
2026-05-11 17:00:21
3
anna.mageni8
Anna Mageni :
mungu mpe maisha marefu dada yetu maana yaye ni mama wa pili kwetu🙏🙏
2026-05-09 16:21:52
0
user5426881407518
haney :
Ameen ni mm huyo
2026-07-22 11:25:50
0
ummul.yamaan
أمّ اليمان :
amiiyn 🤲 🤲
2026-07-08 17:05:45
1
zakia2732
zakia :
kweli kabisa atuna bahati
2026-07-21 12:08:02
0
asiacakes04
Asia cakes :
yaraab mjaalie janat firdaus dada yangu amejitoa mno kwenye elimu yangu yaani namaliza chuo na yeye anafariki yraab!😭
2026-07-23 08:38:18
0
To see more videos from user @imtauminkhlf, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About