swali hiyo pombe au juice hapo jibu ni pombe sio chai acha kupaka rangi maandiko
2026-05-24 05:50:49
0
asia bushiri :
ALLAH Akulipe😭😭
2026-05-08 14:48:50
3
mishar rashid :
Kaka mashallah allah akupe subra
2026-06-06 14:46:03
2
akramsaidi088 :
Mashaallah Allah akulipe kheir umechambuwa vzur sana sheikh kwa mwenye uwelewa bc Atapata mazingatio mazur Kwa ushauri tu Abell shiliwa Tafakar
2026-06-07 08:50:38
1
Salma Ramadhan :
na ngono je
2026-05-09 13:53:19
0
Nicephonne Boniface :
𝐀𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐀𝐛𝐞𝐥 𝐒𝐡𝐢𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐟𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚
2026-06-07 17:19:36
1
Hamax shera :
Allah sio jina waislmu mtambiwa mpaka lini Allah ni mungu na Mungu ni title mbona hamskii
2026-06-04 10:58:16
0
Eddy Derrick :
naaam maalim
2026-05-27 00:42:29
0
MJA :
MASHALLAH
WAKRISTO WAKASOMEEE
2026-05-09 17:54:03
1
أبو ياسر5 :
بارك الله فيك
2026-05-08 16:37:34
2
Hawaa niger boy. :
nakupenda bureee
2026-05-25 21:15:33
0
Rashidymoh'd009 :
imeeenda iyooo
2026-05-08 18:13:19
1
black sun :
dah
2026-05-08 11:49:49
2
Salim 29 :
ameen
2026-05-26 18:12:12
0
Dee :
Mashaallah Allah Akulipe Kila la kheir
2026-05-08 12:17:17
2
Elly Msolopaganz :
huyo dogo kumjibu mi naona ni kumpa air time sana Kwa maana mi namuona ni mtupu sana
2026-05-18 06:47:50
0
ameir agogo :
mashaallah maalim ume nena vizur maneno ya allah swt alie kua haelewi bs uyo ita kua kiziwi.
2026-05-16 13:17:56
0
youngman :
shukran wa Jazaka Allah kheir sheikh
naomba mumfundishe sana huyu
maana anawafuasi wengi wanamuamini kupita kiasi.
2026-05-25 19:31:15
0
Muslih Awesu :
mbw tu ww
2026-05-08 17:34:23
0
Emmanuel John :
changamoto kweli
2026-05-08 13:10:29
0
sl45 :
Qur'an 16:67
“Na katika matunda ya mitende na mizabibu mnapata kilevi na riziki njema. Hakika katika hayo ipo ishara kwa watu wanaotia akili.” allah anasifu na kuonyesha ni ishara
2026-05-09 14:29:12
0
Mariam Nyumba :
Subuhanallah hyo aliye2kana ajui alitendalo na kutojua elim ya dini Allah amsamehe
2026-05-13 10:14:39
0
أستاذ الجمعة :
Bado watauliza tena
2026-05-08 12:06:15
0
To see more videos from user @nooran135, please go to the Tikwm
homepage.