Hata mimi nina ushuhuda, nilimuuliza MUNGU kwa maombi nifanye biashara gani na alinijibu 🤍MUNGU ni mwema 🙏
2026-05-09 04:13:01
12
Da careen :
Mwenyeziiii munguu sikiaaaa maombiii yanguu 🙏🙏🙏
2026-05-09 19:08:35
3
tressy 629 :
Kilichopatikana kwa maombi kinalindwa na maombi🦋
2026-05-09 17:06:44
7
Mwili Mwepesi |Punguza Kitambi :
My God I know is so Sweet 😋 kwake kuna raha starehe
2026-05-09 19:59:08
2
kiddo❤️ :
Ukatoa wp hela🥺
2026-05-09 13:40:40
4
Pendo🌹bajuta💯❤️ :
ohh mY God 🙏 help Me🥰
2026-05-10 14:51:13
1
Ramaa Agent Savanna Fiber :
Wakati namaliza chuo i was broke mazee Nakumbuka siku nimeenda kuchukua Cheti changu na GPA Yangu ya Bei ya Jioni😂😂 Nikaenda direct kanisani kibarikiwe niliomba sana madhabauni pia sala za usiku za tisaa zilikua nyingi sanaa wakuu Guess what Maombi yalikuja Nilipata kazi Wakubwa tusiache kusali asee Hasa MUNGU ni Mwema Sanaa🙏🙏🙏
2026-05-10 20:23:50
3
By me💆🏾♀️ :
Jamani kama kuna group la maombi Naomba mniunge 🙏
2026-05-08 15:20:03
2
R@juni &%🏋️ :
Atamimi nilimuba Mungu kazi aijapita atawiki nilipata kazi mnzuri sana Asante Mungu
2026-05-09 18:38:17
3
it's grace❤️ :
amen barikiwa xn
2026-05-10 18:54:03
0
user9783539196421 :
Ahsante Kupitia shuhuda hiii nimepata nguvu siachi kuombaaa
2026-05-12 16:51:00
1
Ms_anny255❣️♥️❣️🧸♥️ :
Mungu ni mwema wakati wote🙏🏻🙏🏻
2026-05-10 09:47:50
1
@elza j🥰🥰 :
MUNGU nami nsaidie
2026-05-10 18:30:26
0
angelmbise1 :
Mungu Kweli Ana tenda
2026-05-09 13:35:34
2
Elizaa wa Arusha💝 :
Amen
2026-05-08 23:45:56
2
Hope🥰 :
Amen
2026-05-10 19:32:07
1
Lee33 Js. :
Amen
2026-05-10 15:25:51
1
Elizabeth Massawe :
amen
2026-05-09 17:41:29
1
Femycath :
Amen 🙏🙏
2026-05-09 16:09:53
1
Tina nafaka ❤️ :
Mungu ni muweza wa yote🙏🙏
2026-05-10 17:36:35
1
Anitha Maila :
amen
2026-05-08 10:29:36
1
dina johnson :
amina Imani ipo
2026-05-08 18:58:00
1
Ida kido's :
Ameen🥰❤️
2026-05-08 21:01:51
1
Praise :
Ushuhuda huu haujakamilika ulitoa wapi hela
2026-05-10 09:37:20
1
रिओन...❤️😂 :
nani anieleweshe kuhusu hayo maombi ya saa tisaa na mm nataka niongeee na Mungu 🥹
2026-05-09 10:16:00
1
To see more videos from user @sauti_ya_ushuhuda, please go to the Tikwm
homepage.