@vee.virutubisho01: Mba au utangotango kwenye ngozi/kichwani mara nyingi husababishwa na hali ya ngozi kutoa magamba meupe au ya njano pamoja na muwasho. 📍 chanzo kikuu huwa ni fangasi aina ya Malassezia, ngozi kuwa na mafuta mengi au ukavu wa ngozi. Pia stress, bidhaa kali za nywele/ngozi, eczema na psoriasis vinaweza kuchangia. 🌿Sababu zinazoweza kusababisha zaidi ni: 📍Ukavu wa ngozi 📍Fangasi kwenye ngozi/kichwani 📍Mafuta mengi kichwani 🌿Matumizi ya bidhaa zisizofaa kwenye nywele ✅Upungufu wa baadhi ya virutubisho mwilini ✅Stress na uchovu mkubwa ✅Kinga ya mwili kuwa chini Dalili zake huwa: ✅magamba meupe kwenye ngozi au kichwani ✅Kuwashwa ✅Ngozi kukauka au kuwa na mafuta mengi ✅Ngozi kuwa nyekundu au kuwaka. #vickhealthtips tunakupa suruhisho kamili,kwa kutibu ngozi yako kuanzia ndani🌹 TUNATUMIA VIRUTUBISHO vya asili visivyokuwa na chemical. call/Whatsapp 0613343812 usisahau kufollow, like,share Ili na wengine WAJIFUNZE🌹♥️
Vickhealthtips
Region: TZ
Friday 08 May 2026 11:08:36 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @vee.virutubisho01, please go to the Tikwm
homepage.