@muuh_furniture: CLASSIC BED 🛏️✨ Badilisha muonekano wa chumba chako kwa Classic Bed yenye mvuto wa kipekee pamoja na Armchair ya kisasa inayoongeza comfort na elegance ndani ya nyumba yako 🤍 Kitanda hiki kina muundo imara, kinaonekana classy na kinaendana na aina mbalimbali za mapambo ya ndani. Ni chaguo sahihi kwa wanaopenda muonekano wa kisasa na mazingira yenye utulivu wa kupumzika baada ya shughuli za kila siku 🙌 ✅ Size 5*6 ✅ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia ✅ Comfortable sana kwa matumizi ya kila siku ✅ Armchair inapatikana kwa ajili ya kuongeza mandhari nzuri ya room ✅ Tunapokea oda muda wowote Bei ya kitanda ni 300K Armchair ni 260K Karibu sana kufanya oda yako leo 📞 Tunapatikana Kigamboni & Mabibo Delivery zinapatikana 🚚 #muuhfurniture #BubbleBeds #HomeComfort #InteriorDecor #FurnitureStore

Muuh_Furniture
Muuh_Furniture
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 08 May 2026 11:55:45 GMT
11628
256
8
17

Music

Download

Comments

faac77
Faa cute ❤️🔐🥷🏻 :
Ilo sofa sh ngp
2026-05-08 18:25:41
0
zenambega152
Zena Mbega152 :
Bei ya kitanda
2026-05-08 14:17:25
0
mmraucollection
mm rau collection :
😁😁😁nyooo
2026-05-08 16:36:01
0
femilux3
FEMILUX NAILS 💅 :
😊
2026-05-14 17:01:55
0
To see more videos from user @muuh_furniture, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About