@bonliver.net: 🔒 UMECHOKA WATU KUUNGANISHWA KWENYE WiFi YAKO BILA RUHUSA? 😤 Jifunze jinsi ya KUBLOCK watu wasiibe internet kwenye Airtel ODU CPE yako kwa hatua chache tu! 🚀📶 ✅ Zuia watu usiowajua ✅ Linda speed ya internet yako ✅ Control nani aunganishe WiFi yako ✅ Rahisi kufanya kupitia simu yako 📱 🔥 Tazama video hii mpaka mwisho ujifunze hatua zote muhimu! 📞 Kwa msaada zaidi: 0784663102 #AirtelODU #WifiTips #CPE #InternetBilaUsumbufu #TechTips
Bonliver_Net
Region: TZ
Friday 08 May 2026 13:27:40 GMT
Music
Download
Comments
Rynnie🌸 :
jaman nmejaribu selew kabsaaa
2026-09-06 08:49:11
1
Moud Kilaba :
Na kumtoa Brock unafanyej
2026-08-22 10:12:31
1
diana daudi :
naomba kujua kuwazuia kuhusu ttcl
2026-07-28 17:38:57
1
bint aly :
anco mm nnayo hiyo nilitak kwa ajil ya biashara lkn ajab antena ipo juu wifi ipo ndani majiran wakae nje tu wakiingia ndani hawapati
2026-07-26 14:22:17
1
Waje Tena :
je kama umemuuzia mtu kwa siku 1000 na mwenzake akapewa ascan si utakosa pesa
2026-08-28 23:19:27
2
Baraka Makoye :
nashukuru xn
2026-09-01 22:44:24
1
Faith♥️ :
Acha uchoyoo😅
2026-05-08 15:12:43
2
@royal!bae#🌹 :
ninayo kama hio kila nikibadilisha paswed wanaijua nifanyj ili kuepuka iZo changamoto
2026-08-17 12:21:33
0
Tibalius27 :
hiyo hamna kitu kwenye simu yake akiset Random address anarefresh kisha anaingia tena na adress nyingine utamblock mpaka sehem yaku block itajaa😁😁
2026-07-30 09:14:50
0
nelly wa bajaj :
tuelekeze bc jinsi ya kutumia wi fi yenye pin
2026-05-17 08:02:40
1
tiktok~imeingiliwa :
tunajua ach bangi 😂
2026-05-09 08:18:45
0
Maggy Melvin :
Asante sana tajiri
2026-06-21 19:39:39
0
Said ronaldo :
HALOTEL
2026-08-28 16:37:35
0
mtoto_wabibiorg :
ya savannah fibre jmn
2026-05-23 19:05:35
1
jonta :
yangu ZTE
2026-08-24 04:14:31
0
Lugo's :
Asante mkuu
2026-08-19 19:34:13
0
SHILLAH jr♨️ :
umetisha
2026-07-23 09:18:35
0
Lui bablui :
Jinsi ya kumtoa block
2026-07-16 14:03:11
0
tiffah 😜🤏 :
we mkaka nisaidie jmn kuna mtu namblock anabadilisha adress na block mpka kunajaa nisaidie jmn mpk nmechoka nisaidie kak
2026-08-29 07:23:36
1
appetizer tz :
boss hiz 5g zeny jina la huawei vpi tubadilishaj pasword
2026-06-10 10:41:41
0
WIFI CENTER Tz🛜 :
Kwisha mm jirani yangu akiipata hii😂😂
2026-05-08 19:44:07
1
s.. boy🤑🧢 :
hii hapo
2026-05-12 09:04:35
0
Jamila Steve :
unapenda kujiamulia mambo mwanetu😏
2026-05-19 10:15:14
1
mo. sanga :
umezinguaaa kaka
2026-07-17 20:14:31
0
bolver@:10 :
192.168.18.1
2026-07-19 08:27:57
0
To see more videos from user @bonliver.net, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.