@emmanuelmaxmilian3: 2 WAKORINTHO 7:1 [1]Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu. #Hivyo basi tuwe makini Mungu haangalii moyo tu bali na nje pia. Imetupasa kuvaa katika Utakatifu kama iwapasavyo watu wa Mungu. Ndiyo maana Yesu alisema safisha kwanza ndani yako ili nje nayo ipate kuwa safi. Amen 🙏.

EMMANUEL MAXMILIAN
EMMANUEL MAXMILIAN
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 08 May 2026 14:52:02 GMT
131182
5636
236
1462

Music

Download

Comments

jina_labwana_libarikiwe1
USHINDI NI WA YESU :
Amen
2026-05-23 17:22:21
0
prisc0747
prisc :
mama ubarikiwe na bwana
2026-05-08 17:12:49
7
manirakiza.theodo
mary🌸 :
Asante mama
2026-05-11 07:41:19
1
louisenuru
louisenuru :
ubarikiwe
2026-06-12 02:26:41
1
k3486093
k :
you are right pongez
2026-05-13 19:27:50
2
evy94126
evy :
Mungu aliponye kanisa maana kuna mafundisho ya kigeni yameingizwa na mawakala wa giza na kulifanya kanisa kuwa vuguvugu kiroho,wanavaa wanavyotaka na kujifariji kwamba Mumgu anaangalia moyo
2026-07-06 18:55:45
3
user3753167058048
EV;gkfromTanzania!! :
kwakweli mama jaman ,,yanii inabidi tuombe roho aseme na mmoja mmoja nayelitaja jina la Bwana
2026-05-11 12:24:35
5
mosesinocappuccino
DRISKEL_3 :
nikweli wengi wanasema wokovu ni roho sio mavazi ila Leo Mama mchungaji umenisaidia
2026-07-10 14:45:36
1
jacintasidi
siddy💕💕 :
Hio ndio injili tunataka maa
2026-05-12 20:22:40
2
apostleepaulo
paul :
amen amen 🙏 🙌 barikiwa sana
2026-05-12 21:17:43
2
ndeto.tv.official
Ndeto TV :
very true
2026-05-13 07:14:24
2
user3554861698158
NEEMA KABISI OFFICIEL :
iyo nikweli kabisa maman angu ubarikiwe na bwana
2026-05-11 11:37:36
2
nicimpayeildephon
Nicimpaye :
kwel mama
2026-05-11 13:34:51
1
lemamura4
lema mura :
barikiwa sana
2026-05-12 18:41:57
1
user5247580222981
user5247580222981 :
Amen
2026-05-14 18:21:58
1
kayugi2
kayugi2 :
Amina
2026-06-26 11:27:12
1
gordonawuonda0
Major G :
Ukweli kabisa
2026-05-14 14:20:07
1
campun1
campun :
Amen
2026-05-14 18:34:39
1
deborahyohana671
Deborah Yohana :
amen mama
2026-05-09 07:12:13
1
esnartkayuni
Esnart kayuni :
kweli mami
2026-05-09 04:33:10
1
marthawiliam
marthawiliam :
Kwer mama Mungu atusaidie sana
2026-05-14 13:29:55
1
sophiabenson776
dreamer .g. :
nakupenda mama barikiwa
2026-05-11 11:54:39
1
agatha.mbwilo2
Agatha mbwilo :
Aminaaaaa mama barikiwa sana
2026-05-09 08:45:14
1
wakesho551
wakesho😘🥰❤️ :
Amen
2026-05-08 16:31:18
1
touchcare__saloon
touchcare__saloon :
Mama Ubarikiwe sanaa
2026-05-14 16:21:07
1
To see more videos from user @emmanuelmaxmilian3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About