@itsdefiner: USICHOKE is out now in all digital platforms karibu kuisikiliza 🙏🏿 ...link in my bio #definerusichoke #definer #makemefamous #tiktoktanzania🇹🇿 #bongofleva
Definer mambo vp unaimba vizurii sanaa lakni nyimbo hiizii ni zautulivu mda mwngn ukiwa na mawazo,andaa hata albam moja ya nyimbo za kuchangamkaa ili ukiwa kwwnye show uamshe kuna show ulifanyaa hivii karibun watu walkuaa wanasikiliza sanaaa
2026-05-08 18:32:51
27
HM5 :
Ubaya, Siachiki, Niache, Nafasi Sasa na hii umeniongezea playlist. kweli the good music is still alive
2026-05-08 16:20:24
10
@mzimu wa definer :
maan halisi ya msanii,nimemtumia mama angu hii nyimbo🔥🔥🔥🔥
2026-05-08 22:30:52
3
Father khan💫 :
mwanangu kipaji chako ni level za mbele sanaa tusichoke✊️✊️🙏
2026-05-09 04:15:49
8
mwanga :
jamaa binafsi tangu nimeanza kusikia ukiimba nikakupokea, UNAJUA
2026-05-08 16:04:58
5
SillahAfrica.tz✅ :
jamaa katoa nyingine huko YouTube twenzetuu
2026-05-08 15:44:26
3
bless_amigoo :
Likes nyingi kwa MAMA 🤗
2026-05-08 15:57:07
4
Shakifu Mnungu :
unatish bro
2026-05-09 18:45:34
0
bwengahimself :
Noma anko🔥
2026-05-09 15:25:08
0
kyomajr455 :
unajua sana mzee kila nikitulia lazima nipite kwenye account yako
2026-05-09 06:42:03
1
Khibantaw@ 002 :
Mwanangu hauna kazi mbavu..., One day kaka utafka mbali sana Inshallah 🙏💪👏
2026-05-08 16:12:14
1
MDUDU FOX🦊 :
kaka sana 🙌🔥🔥
2026-05-09 15:31:00
0
Zombii 47% :
Mwangu unaweza sanaa usiacha kumba 🥺
2026-05-12 09:03:47
1
BRONSO26 :
UNAJUA SANA MWANANGU KAZA HAPO HAPO ONGEZA MAPAMBANO
2026-05-09 06:49:21
1
BMG⌚ :
mbona najiskia kulia 😢
2026-05-09 04:09:19
0
RealMpili255 :
MAMA ❤️
2026-05-09 03:42:48
0
Incredible Zast :
KANUMBA 💨💨🙌🙌
2026-05-08 15:57:51
0
Mr voice243 :
Nipe Colabo kakangu😁😁🥰🥰🔥🔥
2026-05-09 04:16:39
0
zetu production :
keep going my brother..we are celebrating your success🙏
2026-05-09 17:46:54
1
RAMSO RAMA # 👖👔👕🩳 :
msani wangu @Definer_tz ngoma kali sana 🔥🔥🔥🎤🎤🎤🙌🙌🙌🔥🔥 usichoke new song
2026-05-09 14:58:19
1
Mo talent💥 :
mkali wangu 🙏🙏
2026-05-08 16:29:13
1
Pachah A :
dah hii nyimbo imenitoa machozi🥺
2026-05-08 16:12:53
2
odhiambo :
apa umeweza Mzee baba 🤝
2026-05-08 15:36:07
2
jae__ree :
anko mimi shabiki yako kutoka mwanza nakubali sana magoma yako utafika mbali sana🔥🔥🔥🔥🔥
2026-05-08 15:56:14
1
GOODHUB :
Unajua sana 🔥🤛 subiri niwai YouTube
2026-05-09 04:32:10
1
To see more videos from user @itsdefiner, please go to the Tikwm
homepage.