Niwape code ya bure kwa mtu asiye na mtaji kuitafuta ppm kwa mawe au mchanga ambao huwezi kukamua chochote please usijaribu hata kidogo elewa kilimo cha bikini finalization kwenye calculator🔥
2026-05-09 04:45:04
21
Side boy :
Mimi uwaga nampenda Mtu aongee na hasara pia sio aongee faida tu
2026-05-09 04:03:01
9
jilala joseph :
Hapo ni wapi?
2026-05-08 15:47:41
5
cee :
1.8×300=540
540g × 200,000=108,000,000
😳😳😳
2026-05-08 16:48:27
4
Explore Tanzania 🇹🇿 :
Other factors remains constantly.
2026-05-09 01:31:16
0
user6197845005162 :
niko kisumu kenya......naomba msaada wa kuanza biashara hii
2026-05-21 04:53:41
0
Mbaga Gold Mine :
walleye ukweli mtaji wa milioni 20 unaishia hewani
2026-05-09 12:40:31
0
Benlove kiswaga :
Acha niwe winga tu 😁
2026-05-09 05:23:18
1
millykem :
how do I know the upm of soli
2026-06-02 15:12:12
0
Bashar الاسد24Hour✅️✅️✅️ :
Sihemu ni wapi
2026-05-09 18:28:19
1
Humble❤️ :
Kaka naomba kuongea na wewe. Kuna jambo mbele yangu naomba ushauri wako tu.
2026-05-08 16:16:29
2
mtoma :
hapo ni wapi kakaa
2026-06-04 06:10:31
0
Ahmed :
Elimu nzuri sana hii kaka
2026-05-08 19:49:34
1
Edison Boniface :
somo kubwa kiongozi,kupitia video zako najifunza vingi sana.
2026-05-08 20:43:29
1
RAMADHAN OMARY :
hapo niwap
2026-05-31 08:08:16
0
Deusdedith Daudi :
wap jamani
2026-05-09 18:19:10
1
Cold World :
tani 1 ni bei gani ?
2026-05-08 17:14:31
0
Max tz% :
boss mm nanza maisha lakini naomba musada kutoka kwako boss miutaji ninao boss
2026-05-28 09:41:07
0
J1 :
dah kaka mchemia kuacha 0.2ppm ni hajui jui?
2026-05-20 14:06:13
0
Robert🛫 :
brother ayo si ni ma felo tu yanasoma kweli ayo
2026-05-24 16:29:15
0
mbilooliverpool :
Elimu nzuri sana hii Bro.
2026-06-25 19:36:37
0
ELONE D EMPIRE LTD. :
hii iko pande gani?
2026-06-19 04:52:08
0
tumain s :
boss
2026-06-14 21:57:03
0
Shija Isidori :
apo niwapi
2026-06-01 20:46:52
0
T :
unyama mkuu
2026-05-08 18:01:19
0
To see more videos from user @vdashmining, please go to the Tikwm
homepage.