@marianconcertevents: Faraja ya Mama Maria huwa tamu tumuombapo kwa unyenyekevu, hakika Mama humwambia Mwana naye Mwana hutenda. Wimbo huu ukawe faraja kwako; Ewe Mama wa Mwokozi - PF. Mwarabu. #performance Tamasha la Uzinduzi wa Album Kwaya ya Mt. Maria Magdalena - Ununio. #FikrazaLing #mamámaría #virginmary
MARIAN CONCERT EVENTS
Region: TZ
Friday 08 May 2026 15:52:29 GMT
Music
Download
Comments
user23231784781804ahelj 🧎 :
jamani navutiwa na nyimbo za bikra maria hongera sana
2026-05-09 04:20:00
19
seneda@28 :
mama maria, mama wa wote 🙏🙏🙏
2026-05-09 09:31:20
6
Miss~Lucy😇🥰 :
unajua sana kaka.
barikiwa mno😊
2026-05-12 06:34:57
1
bienveillance :
Merci maman Maria tukumbuke
2026-07-01 06:20:48
1
Kavugho Deborah :
maman maria niombeye
2026-05-13 13:54:58
1
user44415607543617 :
aksanti sana
2026-06-08 17:54:45
1
mery :
Amani na salama kaka samahani Naomba unicheki Inbox nashida nataka kuwa rafiki wa radio maria
2026-05-14 09:34:54
2
methodology :
Bikira Maria mama wa mungu utuombee sis wakosefu kwa mwanao yesu kristo🙏🙏
2026-05-18 07:28:20
3
maula Mtweve :
Mama wa Mataifa yote Utuombee
2026-05-18 18:25:36
2
delà grace :
aksanti kwa wimbo, naipenda sana kweli kweli
2026-06-02 18:37:09
1
Béatrice Baderha 💋💋♥️ :
Mama bikira Maria tusaidiye
2026-06-22 14:48:21
1
Highly favored 💯 :
jamani nilipenda nyimbo hizi zama zake nikiwa shule ya msingi🥹 tunabaraka za Mama kama wakotoliki 🙏🏽
2026-06-03 21:02:52
1
Neymar🥰 :
love 😘 u
2026-05-09 18:34:24
1
Irene Ngowi 569 :
Thank you kaka
2026-05-09 12:22:28
1
i.r.e.n.e.39 :
jina la wimbo please
2026-06-03 04:52:19
0
fp :
courage frère
2026-05-11 20:33:22
1
Elnorah 😘💘💋 :
Amina
2026-05-09 09:48:21
1
mery :
Amina
2026-05-08 22:13:40
2
Pauline chidada :
MAMA MARIA ENTER FOR US
2026-05-09 22:28:09
1
Helen🙏🙌 :
jamani Mungu akubaliki sana nyimbo zangu pendwa
2026-05-09 12:13:02
2
freymomo :
Virgin Mary ❤️
2026-05-09 10:16:03
1
Elizabeth :
amina
2026-05-09 06:39:43
1
ruva :
nakukumbuk sn kipnd tunasoma ulisem unampend ma maria coz umelelew na mam
2026-05-09 13:34:53
1
user3747490028773 :
natamani nikusapoti nakupa wapi
2026-05-09 08:51:41
1
Monica adelitusy :
Amina balikiwa sana 🙏🙏🙏
2026-05-08 21:50:32
0
To see more videos from user @marianconcertevents, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.