@officialmzumbeuniversity: Jamii ya Chuo Kikuu Mzumbe wakisindikiza miili ya marehemu Bi. Witness Samora Samila (Mwanafunzi wa mwaka wa pili aliyekuwa akisoma Shahada ya Awali ya Uhasibu na Fedha katika Sekta za Umma) na Bi. Nyabatende B. Julias (Mwanafunzi wa mwaka wa tatu aliyekuwa akisoma Shahada ya Awali ya Usimamizi wa Rasilimali Watu) ikiondoka katika Ukumbi wa Samora, Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro baada ya ibada ya kuaga iliyofanyika tarehe 08 Mei 2026. Hali ya huzuni na simanzi ilitawala miongoni mwa wanafunzi, watumishi pamoja na ndugu wa marehemu hao waliokusanyika kutoa heshima za mwisho kwa wapendwa wao.

officialmzumbeuniversity
officialmzumbeuniversity
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 08 May 2026 17:21:04 GMT
71461
1976
87
47

Music

Download

Comments

user9783729706179
Diocles Buberwa :
poleni sana wanaMzumbe ndugu jamaa na marafiki
2026-05-08 17:26:51
34
kakawataifa
kakawataifa💔 :
Wana IFM pia tunawap pole san,safari yetu ni moja🙏😥
2026-05-09 08:01:31
22
sey_one1
Sey_One🦋💕 :
nin kimetokea jmn🥺🥺🥺
2026-05-09 08:51:54
4
licious0220
29112024 :
what happen,we want to know
2026-05-12 08:47:54
0
wise.wendooh
wise wendooh✨ :
Jmn witty 😭😭
2026-05-09 10:30:49
0
ernest.simon.j
Esima jr 25 :
mungu awapumzisha mahali pema
2026-05-08 18:45:15
8
ms.falvin
p :
witty mwananguu😭😭😭
2026-05-09 13:18:14
1
foforty4
Foforty💟 :
Jmn wanachuo tuombe sana
2026-05-09 18:52:31
5
frowinsanga180
Frowin Sanga :
daaah polee sana kwa ndugu na rafiki
2026-05-09 20:03:18
1
user2991076786057naomi
Jesus is my redeemer :
so painful
2026-05-10 20:45:19
1
salomepius749
Salome Pius :
dah so sad😳
2026-05-09 17:34:56
1
hi_its_happiness
Happiness :
Wapumzike kwa amani🥺
2026-05-10 21:51:12
1
user693949775139
mbunge 2 :
innalillah wa ina ilayh rajiuun
2026-05-09 07:19:08
1
catherinengwema
catma_lady :
mweeee 😢🥺😢
2026-05-09 08:34:22
1
user10178166221182
Magreth Ramadhan :
polen
2026-05-10 06:53:56
0
ifethious.fei
ifethious fei :
what happened
2026-05-08 22:12:45
0
jeymikakashay
Jeymika@kashay :
wapumzike kwa amani 🙏
2026-05-11 12:41:43
0
missdee668
Miss Dee :
so painful 😭🙌
2026-05-09 13:40:11
0
faithhair7
Faith hair 👱‍♀️ :
Imekuwaje wote wawil jmn🥺
2026-05-09 11:51:32
0
majura395
majura :
duh!!!@@@
2026-05-11 21:43:57
0
user4724407845785
maa🎀kiwig🎀 :
jamni kwani imekuaje ety???
2026-06-02 20:21:23
0
winfridandogwe488
Daddy's daughter 💕 :
Witt lkn 😭😭😭
2026-05-09 12:25:38
0
mkaka.wa.mzumbe
its*Prince🎳 :
so 😭😭 sad
2026-05-09 12:15:26
0
tine_amri
smile girl :
😭😭 poleni sana
2026-05-09 05:32:26
0
To see more videos from user @officialmzumbeuniversity, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About