nakubali kaka mim sitoki mpk kieleweke,mi nashangaa oooh team 26 mara team 27 je unarudi kilichokuleta umefanikiwa umepata kilichokuleta,yaani mim Bamba TU Bamba mpk kieleweke kaka team yangu sijui labda30 uko,mungu aniepushie mazito nyumbani nisirudi harakaharaka,mungu awalinde watotowangu,mbwa yule alinizalau acha nikaze broo mungu yupo maraika wapo wamenizunguka daima sitaki kuchoka,Asante sana kaka Kwa kunikumbusha ilo🙏
2026-05-09 18:31:37
62
Ruby :
Umenijaza Imani bro Wacha nipambane maaan 2028 naona Ni kama miaka 10 Na hzi dhiki mwarabu Na mateso anayo nipa Ila Allah Ni mkubwa wa Yote atanifanyia wepesi Inshallah Na Wote walio kwenye mitihani Allah atufanyie wepesi Inshallah
2026-05-28 19:25:49
5
sulhulaymii ❤️ ❤️ ❤️ :
Allah atufanyie wepesi
2026-05-08 18:55:56
35
️Mwana wa jumaa :
This is what I wanted to hear 🥺Mungu anisaidie..
2026-05-16 15:26:43
8
user8716107747357 :
Naenda kusalimia nirudi ishallah 😊
2026-05-10 03:02:40
17
jackline 💕 :
yaan ngoja nilie tuu uchungu upungue maana ninapitia changamoto basi tu asante kwa kunipa nguvu🙏
2026-05-09 10:51:59
15
Mohamed Ali :
duh! yaani right on time wllh ilkua nime giv up lkn ntaendelea in sha Allah, ni kigumu lkn mpaka kieleweke in sha Allah
shukran akhy🙏
2026-05-10 09:20:02
6
Make tifa :
Nimechoka kwa kweli nalia kila siku na naamka naendelea na kazi
2026-05-15 13:23:47
12
Favored one💞 :
mimi lazima kieleweke apa sitoki ng'o hadi niende nikiwa stable inshallah 🙏
2026-06-01 11:20:57
5
shantel5292 :
thank
2026-05-30 10:40:24
1
Nadya bakari ally :
Mdogo wangu umeongea pweti had nimeumia nateseka sawa ila namuomba Mungu anipe uvumilivu nifike mwisho🙏
2026-06-02 15:22:24
1
janetndurya :
amen and Amen
2026-05-31 00:21:08
1
Treza :
hiyo nayo niukweli kaka ulipata namahali unapata Riziki shikilia kabisa
2026-05-09 20:45:35
11
Eldana💦 :
hongera kaka umenena siwezi kunyima like
2026-05-08 19:12:44
7
shy girl 😉😉(linesh) :
IPO siku mungu atulinde 🥺🥺 jangamoto zipo lakini tunaomba mungu atupe kuyavumilia😥😭😭
2026-05-10 09:52:13
5
Farid Yusuph :
kweli
2026-05-29 08:15:51
1
Khadija baby :
Amina 🙏
2026-05-19 01:48:46
1
zubeida zuhura :
ALHAMDULILLAH 🤲❤️ALLAH Atujaalie Subra🤲🥰
2026-05-30 10:15:41
2
Amina :
amiin 🤲🤲🤲
2026-05-18 21:00:37
1
Angela K :
Ni kweli kabisa
2026-05-13 11:24:25
2
sheeathman :
swadakta
2026-05-18 08:10:19
2
mama ake Ali 💞😘 :
Inshaallah Amin 🤲
2026-05-18 05:09:51
2
mamake chimami :
upoo sahihi
2026-05-18 01:32:17
2
BLAC'KSalt#🇧🇭 :
True ✨
2026-05-11 12:55:25
1
To see more videos from user @bishir_1, please go to the Tikwm
homepage.