Sisi hufanya kazi za kujitolea tu jamani hatunaga pesa 🥺🥺🥺
2026-05-09 10:41:05
34
martha :
mim ata nikipewa hela hapohp na ukaniomba Tena haphp nakuwa sina hela kbs😂
2026-05-09 19:05:37
23
kyndiabee :
we are volunteers we don't catch money we just view it abeg
2026-05-09 13:49:06
3
Jackie Lyamuya :
kwn hii media gan inatangaz tun hel jmn🤣🤣🤣🤣🤣
2026-05-09 13:16:47
6
GStz255 :
Ngoja nimamuulize chatgpt hili swali
2026-05-09 17:11:12
6
elegantdiana1 :
Pesa where 😳😳
2026-05-09 12:28:58
4
Mrs.....maela khery :
huu n uhain wallah 😂
2026-05-09 11:42:23
4
Hellen :
hela ndo nin jamn uwi
2026-05-09 14:57:51
4
Glory :
pesa zipiiii ziko wap nan ametupa hatunaaa jamaniiii eeeeh 😃😃
2026-05-09 09:05:15
11
fatumahassani066 :
mbona mnataka presha zipande jamani sisi hata kazi hatuna pesa tunatoa wap😂
2026-05-10 14:34:46
3
Queenlizzy :
Helaaaaaa😳😳 sasa mimi hela natolea wapi
Hatakama ndio umenipatia mda huo sina tena
Mimi hata nikiokotaga inakua tayari nishaipangia bajeti tayar kwahiyo sijawahi kua na helaa jamani😳😳😅😅😅😅
2026-07-15 16:10:46
2
dianalupimo :
hatunaga pesa bhana😅😅😅
2026-05-09 18:31:02
0
edinestavenance :
Tangu nizaliwe sijawahi kusikia ilo neno ni geni kabisa😂😂😂😂
2026-05-09 17:53:54
5
princessperuth2 :
mbona mnapenda kujiamulia mambo
2026-05-11 17:25:26
1
Catherine Martin :
pesa ndnn😂😂
2026-05-10 10:55:42
1
tinanyoni748 :
pesa ipi sasa
2026-05-13 18:27:49
1
Ze Leo Kids fashion ✨️ :
pesa which 🤣🤣🤣
2026-05-12 08:11:52
1
shamy❤️❤️ :
At ukiionaa sio yangu jmn
2026-05-09 17:58:12
2
Cianna🥷♋️ :
Pesa gani kwanza mnayozungumzia apa😂😂😂🙌
2026-05-11 19:13:45
1
muu ayush🌺🦋 :
tena kesi ya uhaini😅
2026-05-11 11:53:00
1
emaculathahaule :
hatujawahi kumiliki pesa
2026-05-08 20:39:09
0
@Asha shine✨ :
watu mnapenda kujiamlia mambo 😅
2026-05-09 17:26:55
1
Sunshine :
Pesa gani kwanza yaani 😳😳
2026-05-10 12:36:26
1
Tee 🫦 :
Hatuna pesa lakin tunazipata mamae 😂😂😂😂
2026-05-09 12:45:07
1
To see more videos from user @missnov16, please go to the Tikwm
homepage.