@ozdantaraphael89: Hakuna anayependa kuwa mbali na wale anaowapenda, lakini maisha yanatulazimu kupambana. Dua yetu usiku wa leo ni kurudi na ushindi nyumbani. Mungu asituangushe kwenye hili. 🙏✨🌙"#Watafutaji #DuaYaUsiku #Riziki #Wadau #InshaAllah