@drdayann: KWANINI UNAKATA TAMAA YA KUPATA MTOTO? Je, ni muda mrefu wa kusubiri? Ni kuharibika kwa mimba mara kwa mara? Au umejaribu sana bila mafanikio? Usikate tamaa ewe mwanamke Wapo wanawake wengi waliochelewa kupata mtoto lakini leo ni mama wenye furaha. Baadhi ya sababu zinazoweza kuchelewesha kupata mtoto ni: ✨ Hormone kutokuwa sawa ✨ PID na maambukizi ya muda mrefu ✨ Ovulation kutotokea vizuri ✨ Kuziba kwa mirija ya uzazi ✨ Msongo wa mawazo ✨ Mbegu dhaifu kwa mwanaume Ikiwa unapitia moja ya changamoto nilizoziorodhesha hapo juu, usikae kimya Nitafute kwa ushauri na maelekezo zaidi kuhusu afya ya uzazi. 📞 DR DAYANN 0744 265 618 #creatorsearchinsights##AfyaYaUzazi #KupataMimba #HormoneImbalance #PID

DR DAYANN | AFYA NA UZAZI
DR DAYANN | AFYA NA UZAZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 08 May 2026 19:08:52 GMT
336
14
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @drdayann, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About