sawa ina kila kitu lakini haina package nzima ya microsoft mfano ms word
2026-06-15 22:38:34
0
Tryphone Angelos :
Kweli kuna mtu yuko serious anaenda playstore kudownload iyo simulator alafu window yake ni 7😁😁 Hiyo michezo ya kuifanya simu ifanane na PC zamani sana kipindi niko form 3. #PC ni PC tu
2026-05-09 19:49:04
1
RJ mgase :
mm naomba windows 11
2026-05-09 05:39:34
0
Joakim work Production :
mhhh kompyuta ni kompyuta
hapo hakuna mfumo Wala nn hiyo ni simulator tu Kwa ajili ya urembo
japo inaonekana vizuri lakini hutaweza kutumia software za kompyuta kwenye simu zilizopo kwenyefumo wa x86 au x64
software kama msi,exe n.k hazitaweza kufunguka Kwa kutumia simulator hata ingekuwa window 11
tambua Hilo kwanza
2026-05-09 15:57:21
0
coil :
na kurudi katika Android kawaid n vp
2026-05-08 20:26:29
0
Huruma Ndoss :
🙏🙏🙏
2026-05-08 19:40:26
0
kid dozy47 :
👀👀👀
2026-05-10 01:54:43
0
JAY jr :
😳😳😳
2026-05-11 10:57:50
0
To see more videos from user @raytechnologiez, please go to the Tikwm
homepage.