@planetmanyanda: Tayari Nipo kenya kiliman Nairobi skyline Apartment Muda wa Kuonana saa3 asb mpaka saa7 mchana kesho tarehe 09

Manyanda African Power
Manyanda African Power
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 08 May 2026 20:17:22 GMT
32944
3327
179
62

Music

Download

Comments

veronicakamene900
0788731237 :
njoo mombasa pls
2026-05-08 20:27:16
4
dogo.sandey
Dogo sandey :
Mungu akusimamieni kaka
2026-05-08 20:21:05
5
caroline.adisa58
Caroline Alois :
naomba kujiunga brother please Nina elfu mbili za kenya
2026-06-01 17:58:16
0
faith.mwikal312
Faith Mwikali :
Mimi niko umoja 2
2026-05-28 18:48:50
0
cheenguy1
C_Guy1 :
hivi kaka ulisema kujiunga fedah ngapi nipo Nairobi
2026-05-09 07:44:04
3
zawadichome
jaqline chome :
nisaidia mwanangu na school fees nadaiwa nimekufutilia sana siku nyingi naomba masada wa sh 7000 tu mwana akimali atajiunga nawewe
2026-05-09 18:55:26
0
user9047590095916
Claudia :
shida hauna wakati wa kujibu ata Whatsapp
2026-05-09 01:31:50
0
mlami615
mlami :
nime kuu karibisha kwa sana ndungu Yangu naku penda sana n mwenyezi mungu ana kupena zaindi Nita kutafuta ata kwenye miguu inshallah
2026-06-19 10:22:41
0
bakarikandy0
Bakari kandi :
ningependa kujiunga ila sina uwezo wa kufika nairobi
2026-05-08 20:22:45
3
mwita647
Stephen KE :
karibu Kenya brother
2026-05-09 05:12:34
2
user7781969490776
Beatrice odungo :
natamani kujiunga but sina pesa yaku registration
2026-05-09 04:19:55
0
user2340743368746
Dady Dady :
unatisha kk mm niko Congo
2026-05-08 20:23:21
4
sweetboysimon254
SIMON :
2026-05-09 16:48:33
1
miasu.ke
Miasu.ke :
bro kwani siku moja nilifikiri utakaa wiki ama siku mbili MDA kidogo sana
2026-05-09 18:03:32
1
user26375774590210
John :
welcome kenya 🇰🇪
2026-05-09 14:58:54
1
mkyogo1
MK Yuri Yogo :
Naona hii post Tarehe 10,Wakati mwingine Kaa zaidi ya wiki moja.
2026-05-10 04:58:20
1
amos.rashidi
Amos Rashidi :
amina mfalume wakiroo
2026-05-08 20:22:42
0
user2290153639902
user2290153639902 :
wow karbu Sana kenya
2026-05-09 03:52:54
1
origenemub
mumbere origène :
Kaka manyanda ❣️
2026-07-07 20:48:12
0
layla_layla28
Leyla :
Karibu 🇰🇪
2026-06-19 05:26:03
0
mercymwasaru0
Mercy Mwasaru :
karibu Kenya,njoo malindi.
2026-06-25 06:26:51
0
university.dropou1
University dropout :
njoo mombasa mzee
2026-06-23 19:23:28
0
bosko177
bosko👊👊🙏 :
sapot
2026-07-08 11:34:27
0
nancy.mure
nancy .mure k :
njoo. mombasa
2026-06-20 17:56:30
0
ahmedissa7916
mnyatu boy :
safiii sanaa
2026-05-08 20:23:45
0
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About