@saidysimba:

saidysimba
saidysimba
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 08 May 2026 21:41:28 GMT
226518
19775
366
177

Music

Download

Comments

user7059294627358
aisha muhammad :
baba Angu alikuwa miongon mwao Na Allah akamjalia mwisho Mwema alijaliwa kutamka Shahada Na alikata roho😭😭
2026-05-10 09:20:45
338
mtupa_fabrics
mtupa_fabrics :
mashallah jamaatu tabligh nawapenda sana ndg zangu hao Kwaajl ya Allah
2026-05-09 12:40:12
155
sharifseif2
seifsharif :
MIMI NAWAPENDA SANA WATU WA TABLIGH, WALINIKUTA NIKIWA MWANA MZIKI TENA TARUK SWALA, WAKANILINGANIA TWENDE SIKU TATU . BAADA YA KWENDA NAO IMAN IKANIINGIA ALHAMDULILLAH NIKAFAHAMU DHAMANI YA SWALA NIKAWACHA KUIMBA ... ALHAMDULILLAH
2026-05-11 18:49:38
82
shauwary29
BUSINESS CENTER TZ :
daaah. huwez jua thaman yake ukiwa fikra zako zipoutosin sema Allah mkarimu Sana na ana waja🥰🥰🥰wake
2026-05-09 08:01:33
48
hatarkuba1
hatarkuba :
Hao wanaitwa peddle jamaaa. Allah awalipe kheri.. Dini imekuja kwa mihanga....
2026-05-09 16:18:45
34
paulndowa7
@لُقْمَانَ :
Alhamdulillah sijui kwanini nimelia😭😭😭
2026-05-10 08:45:57
5
alnoor.bin.noor
Alnoor bin Noor :
kila hatua Dua 🙏🤲
2026-05-22 15:38:24
2
sammy.siraji
SB_THE_ONE :
Allah 🙏 AWAPE pepo ya Firdausi ❤️
2026-05-22 20:02:31
1
rajah7252
Rajah :
mngewabeba kuwasogeza nanyi allah atawabeba kwenye mambo yenu
2026-05-09 18:00:17
23
oboka33
seif Salim🤲 :
Daah team yangu hio adi Raha huruji firsabillah subhanallah
2026-05-10 07:22:16
10
sharifu429
sharif :
mashaallah kazi yamitume iyo naipenda japo nimebomoka allah anirudishe allahuma amiin🥰🥰🥰🥰
2026-05-11 13:07:32
8
zanzibar.184
ZANZIBAR 1 :
dah hii ayaa tamu sana🥰
2026-05-09 15:19:51
6
salum853
ابوسعيد بن درويش :
muda mrefu kwasasa sijatumia mda ata siku 3 dua zenu الله anirudishe kwenye fikra
2026-05-12 14:55:30
9
user7091325310774
umary sachu :
nimewaona ndugu zangu jamati iyo Allah awakubali
2026-05-10 07:54:19
5
khalima353
💙RADHIYA🤲💯 :
mungu kama kunamalipo mema zaid bas walipe mara zote wallahi😥😥
2026-05-22 13:48:40
5
babazuu2
Baba Zuu :
kila mmoja ana njia za upambanaji hasa kwenye utafutaji ww rizk ila wenzetu hawa wamewekeza nguvu zao kwenye Dini Mwenyezi Mungu awalipe kherii kulingana na yale wayafanyayo si,kazi ndogo ♥️🙏🙏
2026-05-16 13:31:08
6
abuusalmamndeme65
Abuu Salma Mndeme :
mashallah
2026-05-11 22:01:26
1
ubaidaa51
Ubaidaa51 :
Mashaallah pedeli jamaaat hiyoo.... Allah atukubali sote
2026-06-07 07:23:29
0
yaah0559
Yaah..@ :
dah 🙏🙏🙏
2026-05-10 09:25:47
1
biashamshihiri
biashamshihiri :
Allah awape mwisho mwema
2026-05-11 08:38:29
0
user2733054842837
user2733054842837 :
mashallah
2026-05-10 04:44:43
0
husseinkarumna
Karumuna :
ماشاء الله تبارك الله
2026-05-09 16:16:30
2
ajhuda1
bindo :
mashallah
2026-05-10 13:00:12
0
mwanaidi.mosi
Mwanaidi Mosi :
nawapenda sana hawa jamaa huwa awapindishi mambo kbs allha awajalie mwisho mwema 🥰
2026-05-10 14:45:22
3
hassanabdul3177
hassan abdul :
Mashallah
2026-05-10 05:46:52
0
To see more videos from user @saidysimba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About