uongo mtupu nguvu za kiume mkiziharibu hazirudi tena kwa mujibu wa qur'an
2026-05-09 21:02:32
1
user7021337085552 :
shukran kakangu jazaka llah khery
2026-06-15 18:01:48
1
@hntahwe@ HISANI :
mi nina uume mdgo unanisaidiaje apo
2026-05-14 11:06:01
4
Mk :
shukrani kwa somo ndugu yangu
2026-05-10 07:32:54
1
isaac :
ame
2026-05-11 10:54:34
1
Call another guy😂 :
nani ambae hajaelewa kma mimi
2026-05-10 15:11:37
2
massawe@jumbe :
manjano nnini??
2026-05-11 20:06:40
1
king Zube _029# :
sheikh Allah akupe ilmu zaid.... shukran san kwa darsa hi.
2026-05-10 10:51:30
3
f.s :
utatumia kwa siku ngapi
2026-05-10 11:26:40
1
dingii🤔 :
mawasiliano yako naomba
2026-05-09 18:40:12
1
jumakhamissi :
2026-05-11 08:51:53
1
Yohana Mwambala :
shi ngapi mkuu
2026-05-09 18:11:16
0
mbunda j :
naomba nitumie hiyo dawa
2026-05-14 08:39:43
1
NASSOR :
Taja bei
2026-05-31 09:25:46
1
Yasini Suluhisho :
hakuna sheikh hapo uvivu wa kulima tu
2026-05-09 21:03:09
1
ALL MAHTOUM :
m nataka unitenheze
wapi nakupat
2026-05-19 00:06:17
2
Manyamasy :
je ukichanganya pia na habat soda na hiyo habat shufaa pamoja na mchanganyiko huo wa vitu hivyo saba kutakuwa na shida au ni nzuri tu unaweza kuchanganya
2026-05-16 01:06:50
1
me :
toa maelezo kiufupi wateja wanakupita
2026-05-14 05:11:33
1
Rajabu Shabani :
halimsidi ndio nini shekh
2026-05-11 16:03:57
1
fuad art :
tez dume
2026-05-10 13:35:50
1
Abby360 :
maana nimeelewa yale maji uliyochemsha tu je hii uliyosaga
2026-05-11 05:00:34
2
FAHDI Aly :
vp kwa mtu mwenye matatizo ya figo , moyo, gesi , au alsa
anaweza tumia hio dawa bila kumletea mazara?
2026-05-10 08:34:11
1
Mussa Ghalib :
hali msiid ni dawa gani ?
2026-05-11 05:46:37
1
KiDream Trending Accessories :
duhh malezo gazeti
2026-05-10 13:43:07
2
To see more videos from user @shekhnassoro, please go to the Tikwm
homepage.