@cutevinercosmetics: Pale unapokuwa unachanbua rasta zako basi unatumia hii stand kuzipanga. Ni nzuri sana kwa wale wenye salon na hawana mtu wa kuwachambulia rasta na hutaki kumsumbua mteja wako kuchambua rasta....unakuwa na hii stand yako...unachambua rasta zako anapanga wakati wa kusuka kazi inakuwa rahisi.... Husumbuki, na humsumbui mteja lakini kwa namna moja unaonekana unajali kazi yako Hii stand utaipata kama unavyoina kwenye video kwa Tsh.35,000 Material silcon na plastic Ipo rangi ya pink 😍 nyeupe na black👌 Tunapatikana Sinza mori Call/whatsapp 0744382928 Tunakuletea popote ulipo Tanzania

cutevinercosmetics
cutevinercosmetics
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 09 May 2026 07:19:55 GMT
15096
208
18
38

Music

Download

Comments

dayanaj112
dayana cute point💫 :
shingapi
2026-05-26 16:05:32
0
nifferbeautycosmetics
niffer beauty&Cosmetics :
nahitaji
2026-08-07 11:58:12
0
safy642
Safy642 :
Naitaka
2026-08-14 01:29:46
0
trecy.birthy
trecy herbs :
hii bado ipo boss
2026-07-03 17:47:40
0
zaycutesaloon
ZAY —CUTE SALOON 🌸💕 :
Ipo??
2026-10-12 13:50:53
0
niphaa59
Rupia mk :
bei yake
2026-07-11 19:30:17
0
marystouches
mary's touches :
bei gani naomba nicheki
2026-05-20 18:22:21
0
maindagunda
maindagunda :
inapatikanaje?
2026-05-25 21:04:32
0
merry_colletion_tz
PIPI MONTANA🩷 :
naifata best
2026-05-10 08:38:39
0
teddyeliustrizzsa
Sky ✌️🧢🙌🤸 :
bei
2026-05-09 07:50:08
0
jenipha.karani
Jenipha Karani :
bei yake
2026-05-12 17:28:39
0
user6161756141324p
sister p 💞🫦🫦 :
nahitaji
2026-05-09 09:45:55
0
pepe.beauty
pepe beauty🦋 :
Niko dodoma napataje
2026-07-06 11:43:50
0
user5709960305923
Angela makeu :
Wap iyo Dada Yang
2026-05-18 18:26:10
0
linna_linna222
Linna :
bei gsni
2026-06-22 05:50:13
0
hilda.beauty.point
hilda beauty point🤩 :
,,,
2026-05-12 13:02:44
0
agricious
Officialaggy :
@Abdul as
2026-05-18 12:48:51
0
To see more videos from user @cutevinercosmetics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About