mashallah wajua kupika mimi huwa naiba recipe zako sana nkipika
2026-05-09 10:46:32
23
zeybeb swahili dishes :
yaani hii fruit mm naipenda sana🥰😂😂
2026-05-09 12:03:43
7
TAMU BITES🍩 :
Naeza ona pic ya hiyo custard yako plz
2026-06-20 01:00:23
1
Asmaboutique :
nzur ila nipo katika dayat saiv 🥰
2026-05-09 18:38:18
2
madam dee💝⚘️ :
custarx powder ni nn jmn na inaptkAN WAP
2026-05-10 16:26:22
2
said ali mohammed :
Waswahili hoyee..Waswahili ndio wanaongoza kwa mapishi na utayarishaji wa fruit salad ya custard na mapishi mengineyo mengi.. Waswahili wanaongoza wengine wanaiga.