@chizipunchlines: Jioni moja baada ya kutoka shule, tulitupa mabegi ndani na kukimbilia nyuma ya nyumba. Kila mtu alikuwa na kazi yake — mwingine kuchota mchanga, mwingine kutafuta makopo ya maziwa, mwingine kuni ndogo za kuwashia “jiko.” 😄 Tulikuwa serious kama wapishi wa hotel kubwa. Mimi nilikuwa napika “wali,” rafiki yangu anatengeneza “maharage,” halafu mdogo wetu alikuwa anapita akisema, “Karibuni chakula kimeiva!” wakati ndani ya sufuria kuna majani na mawe tu. 😂 Tulikaa pale mpaka nguo zikajaa vumbi na wazazi waanze kuita majina yetu kwa hasira kutoka mbali. Lakini hata tukifokewa, kesho yake tulirudi tena kucheza mchezo huohuo kana kwamba tunaendesha restaurant yetu wenyewe. Leo nikikumbuka zile siku, najikuta natabasamu tu. Maisha yalikuwa mepesi sana kipindi hicho. Kwa kweli namiss kuwa mtoto… maana hatukuwahi kujua tulikuwa tunaishi memories ambazo siku moja zingekuwa za thamani hivyo. ❤️ Kama umemiss pia huu mchezo au mchezo wowote wa utotoni tuandikie maoni yako kwenye comment It's ChiziPunchlines😂

ChiziPunchlines
ChiziPunchlines
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 09 May 2026 11:21:30 GMT
167008
8263
621
655

Music

Download

Comments

binah220
binah :
wakishua awawezi elewa iyo kitu🥰
2026-05-11 15:23:19
148
t.momo00
tanisha :
😂😂 mimi nina alama kabisa ya kujipikilisha jamni 😂😂
2026-05-11 13:39:16
40
aggy14059
Aggy cute 🥰 :
mimi apa nilikuwa napenda kuwa mtoto
2026-05-11 12:47:36
13
jokha.said18
baby daly :
kila tuliecheza mchezo huu usipite ivi ivi kulike comment hii
2026-05-12 12:17:25
32
ninoh_cuty45
💋mrs manoma💞💞 :
Umenikumbusha mbali san😂😂😂
2026-05-21 08:19:02
2
junior_jr065
Jr :
𝑢𝑡𝑎𝑠𝑖𝑘𝑖𝑎 𝑡𝑒𝑚𝑎 𝑚𝑎𝑡𝑒 𝑗𝑢𝑢
2026-05-12 20:59:51
3
gracemichael112
Grace Michael :
mm ndio nilikuwa mwenyew sasa tena usipoleta mchele unga dagaa nguo za kulalia stacheza na ww maana mm ndio nilikuwa mama mwenye nyumba😂😂🤣🤣🤣
2026-05-12 10:40:23
8
andulatifu.nyila
me.skate :
kitamb
2026-05-13 09:29:54
3
cholile72
Cholile :
mm baba hapo
2026-05-11 15:52:56
3
bway141
☆♧ {DULLY32 😁} ♧☆ :
daah. nakuona hapo kak
2026-05-09 11:29:07
6
ester.jack7
Ester Jack :
😂😂😂 nimekumbuka mbali san
2026-05-11 07:36:28
5
shabani.kiondo
Shabani Kiondo :
miminilikuwamamahhhhh
2026-06-04 10:28:05
1
naomi.elias571
🥰ur girl ommy :
me hapa nilipenda kuwa mama
2026-05-11 16:47:10
9
gj.h83tz
epiphany🎀💖 :
daah 😂😂
2026-05-11 18:26:16
3
mwana1938
Mwana :
raha sana🥰🥰
2026-05-11 16:43:20
4
hawa.katar
Hawa katar🕋 :
mimi
2026-05-11 16:07:43
4
jpm784
josephmabiti475 :
me
2026-05-11 17:15:04
3
halimashaban938
halimashaban938 :
mimi
2026-05-11 16:35:23
3
benley96
benley :
daaaa😁😁🥰
2026-05-11 17:27:11
2
msomi519
phat :
tupoooo
2026-05-11 17:21:32
4
user78810841061336
frank kisudy :
umenikumbusha
2026-05-12 21:54:21
1
mimiy5192
Mimiy :
Tuuupoooooooo 🤪😜😜
2026-05-16 11:52:58
1
joyce.mwe
Joyce Mwe :
Pamoja sana familia🥰🥰
2026-05-15 17:33:16
1
giftgy6
🦋Mιʂʂ_Bαι🦋🤭 :
mim apa🤣🤣
2026-05-13 09:16:39
1
jesca.tz00
💥mis-jey-lee💫🌸 :
mim uyo
2026-05-11 17:44:16
1
To see more videos from user @chizipunchlines, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About