@dsm_plaza: Kuhusu muda wa kukaa inategemea na WATTS za kifaa chako, Tupo kariakoo mtaa wa sikukuu, Dar delivery ipo na mkoani tunatuma, malipo ni kabla au unaagiza mtu dukani +255714322093 #inveta #pawabenki #inveterpowerstation #powerbank #kifaavyakutunzaumeme
Vifaa vya saloon (dsm_Plaza)
Region: TZ
Saturday 09 May 2026 12:57:56 GMT
Music
Download
Comments
Hassan Mussa :
hamna kitu hapo hata dk 15 haichukui😂😂
2026-05-09 19:24:12
2
joackimbutindi2 :
mi naitaka naipataje
2026-05-16 13:16:58
1
gaspard917 :
Kama mutu eko inje ya tanzania ataipataje iyo kitu ?
2026-05-19 02:01:52
1
ABDULLAHMAN :
inakaa mda gani ukiwa umewasha vyote hivyo?
2026-05-10 07:12:26
1
SEAFOOD SUPPLIER ZNZ :
change masaa mangapi inakaa
2026-05-09 16:46:06
2
Mwangu :
kwako inakaa muda gani ?
2026-05-10 09:45:19
1
BAD VOICE TZ :
nahitaji kubwa yke boss
2026-05-17 07:12:28
1
Imani Salum :
inverter pekee sh ngapi
2026-05-12 17:39:27
1
bekaommy :
kubwa Iko na volt ngapi?
2026-06-25 13:47:35
1
@Nyumbi :
iyo inveta ina wati ngapi?
2026-05-11 19:22:12
1
SLEVO TECH :
hio extension kiac gni..!?
2026-05-09 14:53:33
1
steven :
Mfano kama kuchaji simu na laptop pekee inaweza kukaa kwa masaa mangapi?
2026-05-11 17:06:00
1
Ezekiel Runde :
je inawasha na computer?
2026-05-11 04:25:50
1
Annamaria shemahamba🥰 :
iyo unaweza kuweka na panel ya Sola ?
2026-05-11 17:01:57
1
nikhilsonecha2000 :
Je fridge unaweza kuconnect pia au ?
2026-05-13 21:29:31
1
jerrick691 :
Shida siyo hivyo vitu kuwaka ila vitawaka kwa muda gani bila kuzima hiyo kitu ikiwa full?
2026-05-14 06:20:27
1
joackimbutindi2 :
mko wp
2026-05-16 13:15:27
1
joackimbutindi2 :
mi naitaka hyo
2026-05-16 13:15:48
1
DMF :
umeme wake unatokana n nn au unachaji ??
2026-05-11 12:34:23
1
Hiram🤗😁 :
asa betri ikiisha una chajije
2026-05-10 15:31:14
1
jay itinde :
shingp kwa ujumla
2026-05-10 08:52:38
1
فقير الطريقة الرحمانية :
ahsante kwa kutuwekea caption ya ukweli wa kifaaa
2026-05-10 14:14:41
1
ibrahimembassy :
nahitaji hiyo
2026-05-12 12:21:15
1
Rafael kapona :
naitaji
2026-05-10 04:12:50
1
mr.sniper :
Hata dakika 10 hazifiki
2026-05-10 02:34:39
2
To see more videos from user @dsm_plaza, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.