Kaka Naomba Unisaidie Dawa Ya Ganzi 🙆Mama Angu anapata Ganzi mkono Mmoja
2026-05-11 06:45:50
3
happinessnelson10 :
Video za makapeti jamani🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-05-10 10:35:01
5
Mendez Jr :
dawa ya ngiri boss
2026-05-09 16:00:49
0
boshkaa turkana :
hiyo ya tonslis ni ipi?
2026-05-12 08:22:00
3
Cattie mo ♏️ :
Mm uyu jmn
2026-05-10 07:16:32
0
DA MWANa OG :
mnifollow jamani Acc yangu ni mpya
2026-05-10 11:26:21
0
Minah Cutey :
Asante
2026-05-10 06:54:28
0
rukiamwichande :
Hapo kwenye maumivu makali ya hedhi inanihusu sana hiii
2026-05-15 14:56:51
0
Dianarose Chami :
makapetiiiii🙌🙌🙌
2026-05-11 14:33:30
0
suzanne :
asant
2026-05-10 10:24:47
0
G :
Asantee
2026-05-09 18:28:30
1
VISIT TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Visit TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Gracias 🤗
2026-05-10 08:17:56
0
army girl💜🖤💜 :
Asante
2026-05-11 16:46:10
0
CUTE ME💃🥰 :
hapo kwenye hedhi jmn😭😭🙌
2026-05-09 19:39:39
0
Winnie💫 :
na ya mchenza yanawezekana??
2026-05-09 20:55:18
0
peace 🤩😘 :
😳😳😳😳mm usingizi sipatii ht naogop
2026-08-02 05:27:51
0
user281518107360 :
Mimi mafua yaninitesa ni dawa kila siku nimechoka nisaidie nipone kabsaa kabsaa
2026-05-10 16:11:52
0
Mrs N 💍🔗💞 :
mjamzito anatumia
2026-05-09 14:52:43
2
alicousgeofrey27 :
Naomba dawa ya h pylori
2026-05-09 21:08:11
1
iamchristina062 :
doctor nisaidie ninakalibia miez 2 sasa napata shida sana nikiogo mwili wangu unawasha sanaa yan ukasoro uson tu nishatumia dawa za aleg,minyoo n baadhi ya sabuni nilizopewa phamacy lkn bdo hali ileile tu plz
2026-05-09 17:59:17
0
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm
homepage.