usiwe mwema sana mwana dam Hana kumbukumbu.
chukuwa vitu vyako mwache alale chin kapange gete jingine .sisi watu wa mwnz hatuwazi kesho sisi uwaa tuna waza Leo tu
2026-06-10 18:24:06
2
Raishaaa😜 :
stor na vitendo😅
2026-05-11 17:24:51
6
fayeez bin Omar :
Allah ni mwem wallah akiwapa sehem hiy kwa Moyo safi Allah atamruzuk kwa njia isiyotarajiy
2026-06-07 01:33:07
1
swahib Ajmy♡ :
hili dogo tu, waache waishi tafuta mahali mungu yuko nawe iyo ni baraka kaka❤️
2026-05-11 06:02:03
14
@daniely :
wanaosema wema usizidi uwezo gonga like
2026-05-21 22:18:34
10
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
mchangieni apate sehem nyingne punguzen ushaur , utakaemstiri Dunian Allah atakustir akher 🙏asante
2026-05-25 11:45:36
2
mk :
big up.sana sema nini mungu achoki kukupatia majalibu asimfukuze wala kumtenga maana ujui mungu kampatia jalibu ilo kesho kampangia.zuri lipi
2026-05-30 15:33:17
1
RamadaN HaMID :
Dh ishanitokea hii
2026-05-13 11:05:13
2
Flora Emma :
dhaaa hii story nikama yangu nimemusaidiya mpenzi wangu akaja Zanzibar kutafuta maisha huku analala kwangu saivi ameipata vihela Hela ananiacha kwadhalau☺️
2026-05-24 09:45:14
1
comming soon... :
dahaaaa
2026-08-01 11:11:18
0
Stella Mibaruzo salon :
Yan nimekereka sana
2026-05-21 12:39:25
0
To see more videos from user @manyelet0, please go to the Tikwm
homepage.