@miss_jumaa: #CapCut #creatorsearchinsight #government #kilimo #tiktoktanzania🇹🇿

Miss_jumaa
Miss_jumaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 09 May 2026 18:34:08 GMT
33685
2216
112
123

Music

Download

Comments

mwanza_gear
Mwanza_Gear :
i am about to give up kwenye kilimo 😒
2026-05-20 16:54:20
0
therichrichie
RichEx :
Ohoo good nimevutiwa sana na hii kitu naomba nikufollow tu
2026-05-13 13:33:24
2
__tinny55
Justine :
DED can I dm you ? Pls
2026-06-09 11:55:22
1
mr.kalesi
MR.KALESI :
DED mwaka wa mbele kabisa hongera👏👏👏
2026-05-11 05:50:59
4
quinellysavanna
Fibre Internet :
I love what ur doing my love🥰🥰,Kristo akutunze
2026-05-23 06:03:52
0
user8076366182676
mecy :
KILIMO NDO KILA KITU SEMA KINACHOLWAMISHA NI KWAMBA SERIKALI HAISAIDII KUWEZESHA PEMBEJEO ZOTE, WANAWEZESHA RUZUKU YA MBOLEA TU NA UKIVUNA UNAPBANA NA KODI.
2026-05-10 11:53:12
3
donafrica23
DON AFRICA 🌍 :
ahsante umetuonyesha fursa muheshimiwa
2026-05-12 05:54:42
1
aidomnyama
aido mnyama :
unapambna san kwaajili yetu
2026-05-10 13:02:50
0
tastebakerytz
tastebakerytz :
Najivunia Wewe kuwa boss wangu from Chema DC
2026-05-09 20:21:33
0
user3487524844079
Mahmoud Chamle :
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍 like it ✔️✔️✔️✔️✔️
2026-05-10 06:41:14
0
imangabuji
Ima Ngabuji :
Hongera sana Boss, kazi yako ni nzuri, una link vyema Taasisi binafsi na Halmashauri yako,na Selikari
2026-05-25 16:54:02
0
meshackkamenya4
Meshack Kamenya :
waoo! i like it, naomba Mungu anipe nafasi nitembelee hiyo site
2026-05-14 06:05:03
0
eng.emald_aldo
Eng.Emald Aldo :
Safi sana👏
2026-05-10 09:13:37
0
sarahkelv1
sarahkelv1 :
Miss Jumaa 🥰🥰, Much Love ❤️
2026-05-10 05:41:37
1
wesleymuro
Mac 👣🎮 :
investment ya maana👊
2026-05-11 06:43:10
0
moon111011
moon111011 :
Nice👏
2026-05-10 06:43:46
0
oasis_132
oasis :
Very good project! Hongera kwa kutembelea projects kama hizi na kusikiliza challenges wanazokumbana nazo na kujitahidi kuzitatua. Keep it up!
2026-05-11 07:53:10
0
bura718
bura47 :
great mind gal
2026-05-10 06:48:37
0
marium540
ms marium :
Nampenda huyu dada mzuri n very humble mshallah 🥰🥰🥰
2026-05-10 09:48:16
2
rongino.coloneli
Rongino Coloneli :
Mungu akusimamie 🙏🏿
2026-05-09 19:43:57
0
smainavida
smainavida :
miss junaaaa 🔥🔥🔥🔥
2026-05-10 04:03:19
0
hurumamsinjili962
hurumamsinjili962 :
hongera sana boss lady
2026-05-10 01:48:59
0
muddykikoti
m.msafi :
Kilolo home sweet home, Kudos,kazi nzuri Madame
2026-05-09 19:56:02
1
tiktok.comtanzanchia
Tanzanchiaaaaaaa :
Mheshimiwa unafanya kazi nzuri sanaaa
2026-05-09 19:51:33
0
To see more videos from user @miss_jumaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About