@maganga.12:

maganga.12
maganga.12
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 09 May 2026 20:44:00 GMT
129153
3719
49
309

Music

Download

Comments

paul.kidoto3
Paul Kidoto :
Jamani hiii kazi naipenda sana kutoka moyoni mwangu 🫀🫀 jamani msaada jamani
2026-05-12 07:02:03
2
daudi.yohan3
Daudi Yohan :
napenda sana kujiunga na jeshi
2026-05-10 02:55:20
7
haki.uinua
HAKI UINUA TAIFA :
teache banaaaaaaa
2026-06-18 19:56:49
0
matabajoseph
Mataba Joseph :
Hongera kwa maelezo yako; ijapo umechapia chapia! lance cpl siyo jnr NCO, bali ni senior privet. jnr nco ni coporol pekee. warrant offier class 2 ndiye mwenye mwenge. na wo1 ndiye mwenye ngao ya bibi na bwana. officer cadet ni afisa. mwanafunzi, siyo afia mteule.Afisa mwenye nyota moja ni 2nd lieutenant ( Luteni usu/ nusu luteni).Afisa mwenye nyota mbili ni Luteni( lieutenant), siyo first lieutenant. CDF ni Chief of Defence Forces, siyo force. yaani mkuu wa majeshi; siyo jeshi. Anaongoza majeshi mengi. ni pamoja na Jeshi la nchi kavu( land force), jeshi la anga( airf force), jeshi la wana maji( Navy force) na JKT( National Service).
2026-05-14 11:06:57
3
salehmuhammed06
user7143337232146 :
Hi
2026-06-18 06:29:07
0
oscar.mahele8
Mahele TZ :
sawa familia good job 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-10 07:59:50
6
von_0tf
VON 👑🌴 :
tamaa yang ni kulinda taifa ila bro connection ndo sina naomba nisaidie
2026-05-12 13:18:32
3
raymond198886
raymondcharles168 :
Napenda jeshi namuomba mwenyezi mungu amvalishe kombati mwanangu charles na lhoda rymond
2026-05-11 20:34:34
5
ibraimuibraimu
nguzo comedian :
tamaambaga jmn😳😳
2026-05-31 12:11:48
0
eliya37692
eliya ELENEUSI :
napenda jesh
2026-05-10 11:30:07
4
sundayshassan
sundays Hassan :
Yap yao🔥🔥🔥🔥👍
2026-05-11 20:25:03
1
josephat.josephat7
Josephat Josephat :
mwenyezi mungu akubariki zaidi jeshi letu
2026-05-11 07:51:23
0
zacria.chamene
Zacria chamene :
Mungu abariki jeshi letu la tanzania
2026-05-10 07:48:49
5
abdul.bunaiya
Abdul Bunaiya :
TPDF
2026-05-10 04:13:26
5
mashakamkessomsitigama
Bob_Marshal :
Ni kweli muungano ulizalisha JWTZ?
2026-05-12 00:33:45
1
rajabu.ibrahim4
Rajabu Ibrahim :
Roja officer star
2026-05-10 12:42:14
2
rajabu.ibrahim4
Rajabu Ibrahim :
Roja officer syar
2026-05-10 12:41:59
3
halimaramadhan508
halimaramadhan508 :
hebu mume aje mjesh 😂😂
2026-05-10 09:53:42
1
user72376709632901mmmm
Mussa :
jeshi la ccm
2026-06-21 08:50:11
0
maalimnoorsiabi
Maalim Noor Siabi :
💪💪💪
2026-05-11 14:37:37
2
audax7374
Audax :
😳😳😳
2026-05-14 06:59:28
1
syl.173
SYL :
🥰🥰🥰
2026-05-13 17:43:48
1
maaryjackson
Marry Jackson :
🥰🥰🥰
2026-05-14 19:10:06
1
joshua.leonard119
Joshua Leonard :
👏👏👏
2026-05-15 18:11:56
1
damastz50
Damas,tz :
😁😁😁
2026-05-11 17:36:28
1
To see more videos from user @maganga.12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About