@cutevinercosmetics: Steamer design hii hatujaleta muda mrefu sana kwasababu nyingi zinakuwa na ule mvuke wa kuunguza na zinakuwa na watts kubwa sana… ila tumeipata hii sasaa🙌🙌 This time tumeipata steamer yenyewe tuliyokuwa tunaitafuta kwa muda mrefuuu… hii steamer ina mvuke mwepesi na unaopenya kwenye nywele… Mvuke wake ni mwepesi na customized kwa ajili ya nywele… Sio zile steamer zenye mvuke mkali sana… unakuta mteja akifanya steaming anaungua…anatokwa jasho kama yupo kwenye adhabu … akitoka hapo hataki tena kufanya steaming… kwahyo unakuta pesa uliyochukulia steamer yako hairudiii ni kama unakuwa umepata hasara… Sasa steamer hii tuliyoleta utaipenda… mvuke mwepesi… mteja wako akifanya steaming leo akirudi tena atafanya steaming tena bila kuhofia kuungua… na hivyo unakuta unarudiaha pesa uliyochukulia steamer, na faida juu na unapata wateja wa kufanya steaming… Ina mkebe mgumu kama glass ambao hauna yale matatizo ya kuungua au kusinyaa Steamer za design hii ukitumia muda ule mkebe wake unaungua au kusinyaa na unakuwa huwezi kuitumia tena… sasa kwa hii hutopata hayo matatizo.. utatumia mpaka usahahu Ina plug ambayo ipo very protected na shot za umeme… yale nilikuwa natumia steamer yangu ikaungua hutayasikia… utatumia steamer yako mpaka usahahu.. Na unaweza kuongeza na kuounguza kasi ya mvuke… incase kama mteja wako ana nywele chache sana basi weka mvuke mdogo sana… kama ana nywele nyingi zimejaa basi weka Mvuke mwingi utakaopenya zaidi kwa nywele na hii steamer ina level mbili za moto..400W na 650W kwahyo unachagua kulingana na mteja wako… Chukua hii steamer uwashawishi wale wateja wa kufanya steaming… utapata wateja wa kusuka na kustyle nywele na ile pesa ya kufanya steaming haitokupitaaa… Ni steamer nzuriii sana ambayo ukiitumia utaona utofauti.. na ni steamer ya ukutani DESIGN YA KUSIMAMA TSH.250,000 DESIGN YA UKUTANI Tsh.280,000 unapata na warranty Sio USED NI BRAND NEW FROM THE FACTORY Tunapatikana sinza mori Call/ WhatsApp 0744382928 Tunakuletea popote ulipo Tanzanian