@abdulazizielajemi: ✨Kumuita mtu kafiri si jambo dogo. Kabla ya kuongea fikiria linaweza kukurudia. ✨ Hadithi ya mtume Muhammad (s.a.w) ikibainisha uhatari wa kumuita mtu kafiri. ✨Uislamu unafundisha hekima, tabia njema na huruma.Tuache tabia ya kuhukumiana na badala yake tujenge upendo na mshikamano. 🎙️ Mzungumzaji: sheikh Hassan Ahmed ✨ FOLLOW ⬇️ ili kujifunza uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost #mawaidha #islamicvideo #viral ✨FOLLOW ⬇️ @guide_qalam @Abdulazizi El Ajemi