@acidreflux1234: 🦠 TONSIL STONES zinakusumbua kila mara? Harufu mbaya mdomoni 😷 Koo kuwasha 😖 Kitu cheupe kwenye tonsils? Usipuuzie dalili hizi! Anza kufanya haya mapema 👇 ✅ Kunywa maji ya kutosha ✅ Kusafisha ulimi na meno vizuri ✅ Gargle maji ya uvuguvugu yenye chumvi ✅ Epuka vyakula vinavyoongeza acid reflux ✅ Tibu infection za koo mapema Ukiacha tatizo liendelee linaweza kurudi mara kwa mara na kuharibu confidence yako 😔 Usisubiri hali iwe mbaya… Afya ya koo lako ni muhimu sana 💯#tonsilities#koo#