@micah.muhoho: Unafanya kata tumbo kila siku, na bado lipo pale pale? Sio mwili wako. Ni namna unavyo-train Najua unaamini cardio nyingi ndio jibu, mwishoni unachoka na kukata tamaa because tumbo halitoki Solution iko hapa, exercises sahihi plus diet inayofanya kazi. 👉 Crucifix crunches — zinalenga core nzima kwa wakati mmoja 👉 Elbow plank — stability ya kweli, sio mchezo Lakini ukweli mchungu, hata ukifanya hizi kila siku, kama diet ni mbaya, tumbo litabaki pale pale Mazoezi yanafungua mlango. Diet ndiyo inayoingia #micahmuhoho #calisthenics #coretraining #absworkout #fatloss