@hamasikatv: Ukiyaona mambo haya kwa mpenzi wako hata kama unampenda muache aende - Dr. Chris Mauki #hamasikatv #badilishamchezo

Hamasika Tv
Hamasika Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 10 May 2026 16:54:47 GMT
743750
26690
430
1452

Music

Download

Comments

ezra0520
Viva💫 :
Hivi neno KUMUACHA mnaliona jepesi eeeeeeh 🥹
2026-05-11 07:35:29
424
chimamy...l.o.v.e
DA REY 🧸 :
me Bora nilie tuu ila kumuacha siwezi 😭😭💔
2026-05-11 03:50:56
197
malindo931
malindo931 :
ongea haraka tunakaa mbali😊
2026-05-12 13:22:48
81
blaq_one
Blaq :
Baba anapenda kujiamulia mambo huyu 🥺
2026-05-11 15:26:50
74
user36869660632820
05054443344 :
nimeachia ngazi wiki Sasa imepita and am alright ☺️
2026-05-11 19:01:20
23
chamima24
chamima 💫💫🫰🫰 :
mi kila mwaka naachwa 😭😭😭
2026-07-05 20:01:40
8
jessydewizzy
Ms.jessy :
Kuacha so rahis jmn 🥺
2026-05-11 14:50:25
14
user8442301961252s
Naa :
Nilimwomba anipende hata kidogo akanicheka sana lakini kwasasa anatamani nimpende naninamuomba mwenyezi mungu asinipe upendo juu yake tena
2026-05-11 07:16:25
84
spero195
spero195 :
M NISHAONDOKA MDA MREFU SAAAAAAAAAANA BABA
2026-05-11 05:36:11
11
rehemaissa13
rehemaissa562 :
ndo maana naogopa kuolewa nae ananipenda sana najua lakin sijawahi kumpenda hata kwa %1
2026-05-11 06:03:58
27
appie9488
💓appie :
Kuongea ni very simple but vitendo vigum 😭😭
2026-05-11 08:25:40
22
naftahal7
Naftahal :
Jamani kama kuacha ingekuwa rahisi hakuna mtu ambae angeumia
2026-05-11 15:01:36
16
steve16238
steve@16 :
nilimpenda nikamjali 6yrs, saiz anasema hana hisia na mm wala aman na haya mahusiano.. nimepokea nimeamua kuendelea na maisha japo kwa maumivu makali
2026-05-29 12:59:18
6
hidaya.lambo
Hidaya lambo :
mi nipo singo naishi kwa raha sana
2026-05-11 12:08:32
12
t405dgb2
J4 :
Ahhhh mimi nili sepa nilishindwa kuvumilia mwaka na miezi namvumilia nikiamini atabadilika nikashindwa
2026-05-11 10:33:33
6
kitwana_tz
@saint tz🇹🇿👳 :
maamuzi magumu yamefanyika trh 1 mwez WA 5🙌✅✅,, Historia imeandikwa🙌🤍🙏😔
2026-05-12 13:03:57
11
yusuphgwasm
yusuph gwasm3 :
je kam unampenda san na hajawah kukupenda ila unampend inakuaje
2026-05-12 18:40:44
5
florakidoti2
Flora-kidoti :
Asante ngja nianze kumuacha taratibu
2026-05-11 05:50:40
17
user45549831612406
martha cosma@ :
duuuuuuh mimi nmemwambia kuwa nampenda kajibu kuwa vitu vizur haviitaji haraka
2026-05-11 15:17:47
6
rashidi.juma14
Sharford jr :
huu ndio ukweli kabisa katika mahusiano
2026-05-11 04:53:05
11
annaellynathany
Ananaelly Nathany :
kunywa soda Dr 😎😎
2026-05-11 05:56:22
8
neema.simba5
NEEMA SIMBA🥰❤️‍🔥🥰 :
weh baba unapenda kujiamulia mamb lkn iv unajua ilivyo ngumu kumuacha aende yoooh acha 2 aendelee kuniliza hamna namna💔🥹🙌
2026-05-11 19:42:05
6
user5514086172181.1
Asiye.Wake.Ana.mungu :
huwa.hawkubali.makosa
2026-05-10 23:34:52
5
happinesssaid1
HAPPINESS SAID :
nikiwachekea nyie nitampoteza Tonny wang ww cy mungu
2026-08-06 10:01:13
0
unspoken24hrs
Goodluck :
mapenzi ni swala la uamuzi wa mtu binafsi.. as long as ni emotional feelings.. please kwa ushauri mzuri ni kumuomba mungu akujalie busara katika hili.
2026-07-06 00:48:21
2
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About