Mottoz01 :
Mtandao unakuja kuboost ideas ambazo zinakuja kugharim watu bila wao kujua,,, ukiangalia idea ya kununua mazao imekaa simple, lakin coaches mnapotoa wazo au ushuhuda toen na changamoto za hio ideas, mim ni mkulima na nanunua mazao, kumekuw na wimb la watu weng snaa wamekuja morogor kununua mipunga, bila kupata elim sahih, watu wanauziw mipunga mibovu, watu hawajui hata ujazo wa gunia, watu hawajui mpunga up utakupa faid wakat gan, watu hawajui hasara ya kuibiw mipunga, waty hawajui kma ww mnunuzi inabid uwe front,,, kuna changamoto nying ambazo watu wanalia kila msimu huku ila ushuhuda watu hawatoi,, hizi idea za mtandaon tuwe tunazipa na changamoto zake, isije mtu akaingia kichwa kichwa kwa story za mtandaon
2026-05-11 06:55:58