@veriafya: Ushauri huu ulitolewa na Dkt. Edward Machage, Bingwa wa Magonjwa ya Watoto kupitia TBC Online Video: TBC Online

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: ZA
Monday 11 May 2026 06:08:09 GMT
148794
3362
77
902

Music

Download

Comments

babychocolate81
babychocolate81🥰 :
My dad alinipeleka shule nikiw miaka nane no kindergaten in my life and in all schools life i was best student so this true😍
2026-05-11 11:34:07
29
oscarbubge
oscarbunge :
SIYO KWELI KABISA
2026-05-12 04:01:35
7
_130milimeter
matope :
Wakwangu aliwahi lakin anafanya vizuli sana darasani 🙏😊
2026-05-16 04:09:05
4
user20437384274826
user20437384274826 :
mie yupo kànza miaka 3 sasa minne anajua 1.....100
2026-05-11 08:03:11
5
mwasham.khery
Mwasham Khery :
hii ndio naiskkia leo
2026-05-11 06:44:32
3
otegamaisho111
OT Stationery :
Wakwangu Huwa wanasoma nursery miaka 2.. wanaanza wakiwa na miaka 4 baby class.. miaka 5 anahitimu nursery..miaka 6 std 1
2026-05-15 16:48:39
2
comdaretz
Comr Ade :
hi ni kweli
2026-05-17 01:45:25
2
tishankisoma161
tishan :
nakubaliana na hilo
2026-05-15 16:17:33
2
user389yn
eunice# :
ni kwel kabisa
2026-05-13 19:52:55
2
magari.quality
Magari Quality LTD :
Haya ni mambo ya kipuuzi sana
2026-05-16 04:30:44
1
winwakenan
Win wa kenan :
Hii nayo mpya
2026-05-11 08:22:22
1
user6903639410787
who666669 :
kuumbe
2026-05-13 08:11:38
1
user9557749404948
user9557749404948 :
kweli kabisa
2026-05-11 10:59:55
3
abby_fartoom
Abbyyfartoom :
Sasa ni shule tu....vipi kuhusu TV, SIMU JANJA, LAPTOP, TABLET......
2026-06-21 16:39:22
1
marysamwel42
mary :
hii ni kweli
2026-05-13 03:37:33
1
denny_ctz
am denny-c :
mimi nimeanza std 1 nikiwa na miaka 4 na miezi 6 na nilikuwa best 🙌🏽
2026-05-16 07:01:35
1
longlastingperfume01
longlastingperfume01 :
It’s true 💯
2026-05-11 15:04:26
1
singlefamily167
MissQueen 👸 :
kweli kabisa
2026-05-11 20:16:28
2
user5304270568218
realtapua :
yupo sahii kabisa
2026-05-16 07:24:29
5
user758284358761
user758284358761 :
Mawazo mazuri sana, ahsante
2026-05-11 07:26:39
7
marthamayalla75
Martha Mayalla :
MUNGU ndo anajua kwakwelii yaani hiyo miaka 6 wa kwangu wako.std 2
2026-07-03 18:47:46
0
dilungamahmudu
Dilunga mahmudu :
dahh!!! kweli unafki upo
2026-06-04 20:41:25
0
zuu3603
user90947226933762 :
mh
2026-06-17 05:36:21
0
sagittariusqueen511
Sagittarius Queen♐️ :
Yooh wangu yuko 7 yrs na yuko std 3 na ataingia 4 akiwa 7 yrs bado . Nilikua sijui sasa
2026-06-13 06:21:20
0
gcela34
gcela34 :
Kweli kabisaaa
2026-05-11 08:59:41
1
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About