@obedjkatunzi375: WAIMBAJI WA INJILI MMEKUWA WACHAFU KIROHO MNANUKA DHAMBI

PASTOR Obed J Katunzi
PASTOR Obed J Katunzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 May 2026 06:10:08 GMT
215179
7813
613
760

Music

Download

Comments

mbusaismail
Mbusa Ismail :
congratulations papa pastor
2026-08-05 16:37:01
0
officialmercy940
official mercy :
ni wachache sana wenye hii neema ya kuwaambia watu ukweli ubarikiwe sana mtumishi💯💯
2026-05-12 08:20:51
194
user4252257398843
Sirya Kupasi :
neno la mungu ni moto ulao mungu akubariki sana mtumishi wa mungu uside moyo endelea kurekebisha kanisa. nakufatilia nikiwa Kenya Mombasa Amen
2026-05-11 11:09:14
113
user9802190258358
love ness ppr :
baba hatakama hatusemi ila tunaelewa huduma yako endelea🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-11 07:41:18
35
user6779119303327
user6779119303327MJM 7/21 :
Mwenye masikio na asikie Roho ayaambia Makanisa..Ni wakati wa matengenezo ..Yuaja Mwana wa Adamu..Yanyosheni.mapito yake.Itengenezeni njia ya BWANA.😭😭🙏🙌
2026-05-11 13:44:43
27
user2530132538133
user2530132538133 :
be blessed 🙏 pastor
2026-05-30 05:04:35
6
euny701
Mrs Sweetheart :
Ndo maana mimi napenda tenzi za rohoni
2026-05-12 16:28:28
12
paulmugunga
user7691001598375 :
ubarikiwe Sana baba Niko Congo Lubumbashi
2026-05-11 07:20:08
19
user9921027658785
mzee wamaono milele :
baba nakupata sana yesu akuhifadhi
2026-05-11 14:06:31
5
ayeko1240
Ayeko12❤️❤️ :
Haya nibaadhi ya mambo yaliofanya nikaacha kua praise n worship,sipendi kumkasisha mungu ,barikiwa sana🙏🙏🙏
2026-05-12 04:30:36
12
teresia.kyali
Teresia Kyali :
Ubarikiwe mchungaji! tuendelee kusema hata kama watu hawataki ukweli,,, lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Mungu tusaidie
2026-05-22 10:56:36
11
user7328107074782
@PAULO SHEMGAA :
BWANA YESU ASIFIWE
2026-05-26 16:30:49
10
user5835366715827
Ibrahim :
unaongea point
2026-06-07 19:57:59
1
petronilamutolapassy
Petronila Mutola :
Na Yesu unaye muhubiri akupiganie katika kazi unayo fanya Mungu akubariki
2026-05-13 07:04:45
9
ev.nicholas
Ev. Nicholas Musasia :
barikiwa kwa ujumbe huu,ni kweli kabisa kikazi cha leo kimeoza na hakiambiliki kabisa,nakumbuka siku hizi wengi hufanya cover ya nyimbo ziliziombikwa na utukufu leo hii zabadilishwa mitindo mbaka utukufu umepotea kabisa.Mungu nisaidie nami katika huduma huu ili nizae matunda yapatayo toba na kuelekeza wengi kumjua Mungu..
2026-05-13 13:06:30
8
hannah.muturi8
Hannah Muturi :
mambo ya dunia tumeilete kanisani ..Mungu tuhurumie🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-05-15 22:31:30
5
chilonsi_paulo
Chilonsi paulo :
UKIWA KIROHO UTAELEWA NINI ANA ONGEA BARIKIWA BABA MIMI PIA NI MWIMBAJI TUTAYA FANYIA KAZI 🙏🙏🙏
2026-07-06 13:57:18
2
jackielaundry1
Jackie laundry :
baba ubarikiwe mimi nashida baba ang
2026-05-31 18:11:28
4
jommidyhoriety
jommidyhoriety :
Barikiwa sana mtumishi huo ndo ukwel
2026-05-11 15:36:11
6
user1521175625126
Espezzy :
Mungu tusamee kweli
2026-05-11 08:01:41
8
wamnazalethsarem4
12345678 :
nabalikiwa sana
2026-06-12 16:01:42
1
chikumwahayonga
chikumwahayonga :
Aminaaa mtumishi mungu akusaidie sanaa sio rahisi 😭 ila usiache kupitia ww Kuna wachache ttakombolewa🙏
2026-07-06 14:46:53
1
jeannotkaleya
Benjamin chibalonza :
Mungu akubariki mutumishi
2026-05-30 05:14:03
2
user4980070496534
user4980070496534 :
kunamtu alinambia ninaimba vizuri ila naimba kizamani niimbage kisasa MUNGU nisaidie
2026-06-14 18:23:02
1
isaya.paulo0
ISAYA paulo :
mtumishi mungu akubaliki sana maana unasema kweli kabisa
2026-06-12 07:09:29
2
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About