ila TUSEME ukweli mabasi yanamwendo wa hovyo sana barabarani
2026-05-11 12:03:49
475
mywangu.777 :
Ukiona umetokaa nyumba Mzimaa na ukarudii Mzimaa mshukuruu Mungu
2026-05-11 17:25:10
262
MAZURI PHONES :
Dereva katoka.?
2026-05-11 15:22:39
33
Lj Mwambar :
gari mpyaaa kabisaaaa hata mwezi haina iyo crown
2026-05-11 14:04:32
70
Khalid Kilewa :
Ila ukizingatia vizuri dereva wa Bus hakuwa na makosa Kwa sababu yuko ndani ya mstari wake wa kuendeshea na dereva wa Crown ni kwamba alikuwa amelifuata bus, tajiri la Crown linaonesha dereva alikuwa anajitahidi kurudi upande wake lakini ikashindika (alichelewa kurudi).
All in all may Allah Bless us road kuna mambo mengi saaaaana
2026-05-11 18:47:51
58
Joseph :
mwenye makos ni nan hp
2026-05-11 14:14:42
10
Don Mwax🇹🇿🇰🇪 :
Aya mabasi yanaendeshw hovyo sana
2026-05-11 17:11:06
29
Jane Mussa :
eeeh mungu nilindie mume wangu 😭😭😭😭😭😭
2026-05-13 06:55:33
9
anord :
hata mwezi haina hiyo gari ndgo
2026-05-11 14:08:29
32
brasterabdul :
Duuh ERW 🥺
2026-05-11 14:04:34
8
_Mbonea.jr :
basiaya hapo jana
2026-05-11 14:57:31
5
mamu❤️ :
hiyo balabala ya bunju magari yanakimbia jamani napaogopa sana tena hayo mabasi uwiii
2026-05-13 08:23:36
13
kevinthobias6 :
Mbona kama gar ni mpya usajil wa mbele kabsaaa haina hata week 🥹
2026-05-11 17:28:07
14
J.4 :
kama ni polisi asante MUNGU
2026-06-22 17:48:08
0
Clara :
gari ni ERV cdhan kama inawiki hii crown
2026-05-11 22:13:38
1
shivo Auto works :
asa hapo cheti kimesaidia ninii
2026-05-11 14:48:26
7
David M Rulobhavako#Man D :
mwenye makosa dereva wa basi
2026-05-11 19:12:17
5
Elisha Malima :
ukute dereva alikuwa hana uzoefu maana gari inaonyesha ni mpya
2026-05-11 17:48:55
9
Aggie :
Mungu tuepushie ajali za barabarani,angani na majini.
2026-05-12 06:31:53
5
🥀 pretty jey❤️ :
polen san ndug zangu
2026-05-14 18:45:24
3
rey collection :
niliishuhudia hii ilikua mbaya sana
2026-05-13 20:22:43
3
Othman Abdallah :
wap hii
2026-05-12 16:09:55
1
missahatun♎️ :
jmn
2026-05-11 22:43:46
2
cegrate official..🥀🦋 :
poleni sanaaa aisee Mungu atuepushie🥺🙏
2026-05-13 07:59:14
4
ERZ 295 :
wapi hiyo
2026-05-13 15:50:34
1
To see more videos from user @chilibabaho.comedy, please go to the Tikwm
homepage.