hii elimu ni adim sana ahsanteni Achieve Kwa kutusaidia.
2026-05-12 05:48:01
1
jr :
mi ni kijana (30s)na naweka kwenye bond. am I messing up😅
2026-05-12 08:36:23
0
Yahaya.Pembe :
BOT na UTT, hisa ni salama zaidi
2026-06-06 19:09:53
4
Magreth Lubuva :
nataman kuelewa hiki kitu ila pakuanzia ndio cjui
2026-05-11 10:00:53
5
AngelC :
Hisa nanunuaje jamani 🥺
2026-05-12 20:24:16
2
Gatendeli :
asante sana mtumishi Emilian
2026-05-18 06:01:01
2
Eli_Ituku :
Warren Buffett most successful investors duniani anaamini hisa zaidi bila kujali umri, aliwahi kusema hata ikibidi kuanza tena kuutafuta utajiri anaamini bado ana nafasi ya kurejea
2026-05-11 17:49:06
5
temmy_jewerly _store🛍 :
kwan hizi seminor hua n lin?
2026-05-13 11:46:59
1
Jeremy :
BOT BONDS jinsi ya uwekezaji upo vipi??
2026-05-12 05:10:42
2
j-1987 :
Asante...
2026-05-13 14:21:33
1
Elijah Mgalula :
Tangu nimeanza kukufuatilia maisha yangu yamebadilika! Nakupenda jamani
2026-05-11 07:52:01
2
asuh :
hiii nzurii
2026-05-13 06:02:37
1
doreen rugb66 :
Hakika
2026-05-16 05:39:50
1
lukeykiongoz :
sijui kabisa kuhus haya.mambo.ya hisa naomba kuileweshwa tafadhar
2026-05-11 13:40:11
2
mc manyanza :
Nisaidie Mzee Hilo swala la hisa hua natamani sana ila sijuii
2026-05-11 11:21:17
2
Gatabarwa Gassana c2 :
facts
2026-05-11 19:20:48
1
To see more videos from user @achievefinancetz, please go to the Tikwm
homepage.