VIWANJA VINAUZWA: KITELELA - DODOMA 📍
Fursa adhimu ya kumiliki kiwanja katika eneo tulivu na lenye mnyumbuko mzuri wa kijiografia hapa Kitelela. Viwanja vimepimwa na vipo kwenye mpangilio mzuri wa Block H.
Ukubwa: SQM 1,800 (Eneo pana kwa ajili ya makazi ya kifahari au uwekezaji).
Bei: TZS 20,000,000/=
Mahali: Kitelela, Block H.
Hii ni nafasi yako ya kujenga ndoto yako kwenye eneo lenye thamani inayokua kwa kasi.
2026-05-11 10:37:57
3
✨ S_A_A_Journey ✨ 🛫 :
Sasa vipimo vya Love Jamani vimeingiaje
2026-05-11 14:43:48
15
🥀Miss 🦋feñnah🌹 Boss❤️ :
available
2026-06-04 18:43:27
7
momooh dollars🦋🦋💸💵 :
10/ 10 chap
2026-06-06 11:14:06
1
dripbyp.26 :
[Photo]
2026-06-06 20:13:52
1
Vior :
mweeeh 😂💔
2026-05-11 09:00:32
3
Cecilia Daniel :
🤣🤣sasa mimi nimekujaje apo jmn
2026-05-13 11:46:21
1
kevoo99_ :
2026-05-11 17:10:50
1
Medreka :
😂😂😂😂mwemweeeeee
2026-05-11 10:03:57
3
SHOP WITH Meeh 🎀🛍️🛒 :
😂😂😂Hii kitu ni inauma kuliko
2026-05-13 22:53:28
2
secilia ptk :
kwa nini sesi jamnii eliud
2026-05-13 06:29:54
2
lucy ❤️💞💓 :
sasa uyu 😅😅😅😅😅
2026-05-11 17:59:20
3
roshni neymar kisinga :
😅😅😅😅kamshono
2026-05-12 23:49:52
2
🎀🫰dayana🥹🩷👌 :
2026-05-11 09:52:39
5
HeyItsMariam❤️ :
Hahaahahha
2026-05-11 14:29:12
1
Dolyine Ezekiel :
acha niku follow tuuu😁😁😁
2026-05-11 14:38:42
2
E2M@ :
what you ordered and what you got 😄😄😄🤣🤣
2026-05-11 14:15:04
1
big4men :
first man to like
2026-05-11 09:01:26
1
Jovitha Nestory :
Ila eliud, jamani mweh!
2026-07-08 18:59:17
0
kayombo :
mludishie
2026-07-08 17:47:50
0
🍏 REEN💙📍 :
mweee😌
2026-05-11 09:04:03
0
To see more videos from user @eliudsamwel, please go to the Tikwm
homepage.